Kunguru Mjanja
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 2,047
- 3,980
- Thread starter
-
- #44,921
Moses yuko fiti iwe kwa game yoyote.Game ya leo kwa nionavyo mimi, Conte ameshaamini combo ya Fabregas na Morata na Hazard ni nzuri hivyo hao wote wanaanza.
Kwenye wing-backs sidhani kama Moses ataanza (tena ukizingatia mechi hii ngumu na ametoka majeruhi). Na hata akianza sidhani kama atamaliza Conte hana tabia ya kumchezesha mchezaji aliyetoka majeruhi dakika zote 90 kwa mechi ya kwanza.
Lkn kutokana na kupumzishwa ktk Champions League kwa Cahill basi Leo lazima awe featured ktk XI.Moses yuko fiti iwe kwa game yoyote.
Kumbuka pia alimchezesha Kante dhidi ya Utd akiwa katoka moja kwa moja ktk majeruhi.
So kwa umuhimu wa Moese na performance ndogo ya Zappacosta alieshindwa kumpiku Moese km Christensen kwa Luiz, Leo Conte lazima amtupie Moese.
Rudiger ameshindwa pia kumfunika Cahill sema mpk sasa Conte anawaza juu ya wawili hawa kwasbbu mmoja ana pace lkn sio physical sn na mwingine yuko physical sn tena ni fighter lkn hana pace ya kushindana na kina Salah, Mane etc
Kutokuwepo kwa Kante kuna pengo kubwa sana ila pia kumbuka Kante alipona hata kabla ya game ya Manchester alikuwa na uwezo wa kucheza game ya kabla ya Manchester [Roma walioshinda 3], Conte alisema haya kwenye press kabla ya game kule Roma. Ila hata sub siku hiyo hakuwepo.Moses yuko fiti iwe kwa game yoyote.
Kumbuka pia alimchezesha Kante dhidi ya Utd akiwa katoka moja kwa moja ktk majeruhi.
So kwa umuhimu wa Moese na performance ndogo ya Zappacosta alieshindwa kumpiku Moese km Christensen kwa Luiz, Leo Conte lazima amtupie Moese.
Rudiger ameshindwa pia kumfunika Cahill sema mpk sasa Conte anawaza juu ya wawili hawa kwasbbu mmoja ana pace lkn sio physical sn na mwingine yuko physical sn tena ni fighter lkn hana pace ya kushindana na kina Salah, Mane etc
Sahihi mkuu lkn ukiangalia hali ya Afya ya Moese alikua fiti na tayari kwa mchezo wowote tangu siku 14 zilizopita sema Conte hakutaka tu kumtumia.Kutokuwepo kwa Kante kuna pengo kubwa sana ila pia kumbuka Kante alipona hata kabla ya game ya Manchester alikuwa na uwezo wa kucheza game ya kabla ya Manchester [Roma walioshinda 3], Conte alisema haya kwenye press kabla ya game kule Roma. Ila hata sub siku hiyo hakuwepo.
Ila pia usemavyo ni sawa kabisa Moses yawezekana akacheza leo japo nafasi kubwa ni atakuwa bench naona.
Ona maneno ya Conte "His condition is good. For sure he needs a bit of time to recover the best form. Tomorrow he is in our squad. I think I want to put him on the bench, and then to decide if there is the necessity to put him on or not."
zappa anafanya kazi yake vizuriAtacheza kabisa..... Ataanza kabisa
leo jicho lote nitalielekeza kwake leoUbora wa Cahill utajulikana leo
akimpeleka huko aspi ujue tunafungwaNaamini Fabregas ataanza.
Hofu yangu ni Azpilicueta anaweza kuchezeshwa right wing halafu defence iwe Rudiger + Christensen + Cahill.
Leo ata liver kapanga kikosi kwa woga. Majembe mengine kaweka benchi wakati Conte ktk upande wa kiungo ameimarisha vibaya sn kwa kumuweka DannyChelsea team: Courtois; Azpilicueta, Christensen, Cahill (c); Zappacosta, Drinkwater, Kante, Bakayoko, Alonso; Hazard, Morata.
Chelsea substitutes: Caballero, David Luiz, Rudiger, Moses, Fabregas, Willian, Pedro.