Km Lukaku na Kane walipotezwa na dogo Christensen seuze hao mizambwada kina Mane, Firmenoh na Sarafina?
Km Matic na Herrera na Dembele na Wanyama walipotezwa na Bakayoko na Kante seuze huyo prono injury Cout? Ivi Herndo atakuwepo?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] frimino nae ni mtu kumbe dah.... Ana muda gani hajui goli wal assist na anaanza kila mara sturridge anaingia anafunga chamberlain anaingia anafunga frimino yupo tu.. Tusubiri jumamos mkuuHata sare huwezi pata Anfield
Lallana Hendo Coutihno
Mane Firminoh Salah
Unazuiaje hawa watu 6 walio iva ?
Acha utani mkuu hata ww unajua unalala easy tu!
Nakubali sana. Liver bado hayuko vizuri sana kwenye beki najua fab Bakayoko wakiwa on form Morata hatakua na kazi kubwa sana. Beki na uhakika tuki mdhibiti Salah wengine hawana shida sanaMkuu with 3+5+2 nothing to worry kabisa. Hii ni defensive machine. Najua keshokutwa Luiz atacheza ktk Champions League na dogo Andy atapumzika kwaajili ya Liverpool. Moses atakua amesharudi mana kesho Kutwa atatokea sub. All I know ni kwamba wingback zetu siku hiyo hazitafunguka sn ili kusaidia CB3 ktk ulinzi na kadri watakavokua Liverpool wanalegea ndo goma itapanda kwa nguvu.
Kingine Bakayoko na Kante tuwategemee kuwaona wakipanda sn km siku ya ATM. Yani watapiga box to box ya nguvu kuhakikisha Liverpool hawako salama huku Faby akisokomeza mipasi yake ya mauwaji..
Salah na Mane na Frimenho lazima wapotee.
Ila kuna uwezekano mkubwa Cahill akaanzia benchi na nafasi yake kuchukuliwa na Rudiger maana hutu tu Liverpool tunakimbia sn... Azpilicueta, Christensen na Rudiger hawa wanakimbia sn kuliko Luiz na Cahill.
Liverpool lazima akalishwe
Pedro ni kwa matumizi ya haraka haraka. Yan kama unataka ushindi wa chap chap. So huwezi kumuanzisha ila ataanzia sab then anakuja kuingia baadae mmeahapata ushindi kuja kusaidia kwenye counter attacks. Unaweza kumtoa FabJamani Pedro hana nafasi? .
Salah atapotea tu siku hiyo haweze leta usumbufu mbele ya mabeki 3 wakisaidiwa na wingbacks 2 na Mids 3Nakubali sana. Liver bado hayuko vizuri sana kwenye beki najua fab Bakayoko wakiwa on form Morata hatakua na kazi kubwa sana. Beki na uhakika tuki mdhibiti Salah wengine hawana shida sana
Mziki wa Azbricueta ataujua - yaani kaz juu ya kaz; bampa to bampa. Hakawii kuomba sabu.Salah atapotea tu siku hiyo haweze leta usumbufu mbele ya mabeki 3 wakisaidiwa na wingbacks 2 na Mids 3
Anacheza upande wa kulia atakua na Rudiger au Cahill lkn huwa wanapenda kupishana na ManeKwani Salah mara nyingi hutokea upande gani?
Nami nilikuwa nafikiri hivyo hivyo...ndo maana sikuelewa mtu aliyesema atakabwa na Azpi.Anacheza upande wa kulia atakua na Rudiger au Cahill lkn huwa wanapenda kupishana na Mane
Kuna mabadiliko kesho Conte atafanya.Nami nilikuwa nafikiri hivyo hivyo...ndo maana sikuelewa mtu aliyesema atakabwa na Azpi.
Anyway, bado nashikilia mechi ya kesho itatupa mwanga wa kikosi kitakachocheza jmosi!
All in all, siwaogopi hao mitetea kabisa aisee...
Noted.....utaleta mrejesho baada ya mechiHata sare huwezi pata Anfield
Lallana Hendo Coutihno
Mane Firminoh Salah
Unazuiaje hawa watu 6 walio iva ?
Acha utani mkuu hata ww unajua unalala easy tu!
kulia atakutana na Azbricueta kushotoKwani Salah mara nyingi hutokea upande gani?
Na goli 5 Mlizofungw na man cty vpUnanitajia trashes akina Lukaku kwa mashine tatu za Liverpool?
Acha utani wewe!
Mechi 3 za Ligi bao 10 against 1
How many goals did you score on the last 3 EPL and 2 CL games respectively?Hapo ndipo utaona tofauti
Mechi 5 mfululizo tumefunga bao 20 tumefungwa bao 1 tu!
Free scoring machine unafananisha na akina Lukaku?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] frimino nae ni mtu kumbe dah.... Ana muda gani hajui goli wal assist na anaanza kila mara sturridge anaingia anafunga chamberlain anaingia anafunga frimino yupo tu.. Tusubiri jumamos mkuu
Na goli 5 Mlizofungw na man cty vp
Fimo scored two goals against Seville today!
What is your point buddy?
Hehehe ile beki ndo utakuja nayo Jumamosi mkuu?
Defensive machineIle iliyopigwa 3-0 na Roma ?
Au 2-0 na CP ugenini ?
Chelsea hata sare hapati Anfield
Hata nyie mnajua bali mnajitutumua tu