Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,055
- 27,460
Mkuu with 3+5+2 nothing to worry kabisa. Hii ni defensive machine. Najua keshokutwa Luiz atacheza ktk Champions League na dogo Andy atapumzika kwaajili ya Liverpool. Moses atakua amesharudi mana kesho Kutwa atatokea sub. All I know ni kwamba wingback zetu siku hiyo hazitafunguka sn ili kusaidia CB3 ktk ulinzi na kadri watakavokua Liverpool wanalegea ndo goma itapanda kwa nguvu.Jamani game ijayo tunakipiga na Liverpool halafu kwao sasa. Hapa silaha yao ni M. Salah. Huyu jamaa ni ana mbio kama Lewis Hamilton kakabidhiwa Lamborghin.
Huyu inabidi atafutiwe mpango mkakati atatumaliza mapema mno atuondoe kwenye mood. Beki yao kidogo haikua vizuri naona sa ivi wame improve wanamaliza mechi hawaja ruhusu goli. Hapa cha msingi ni kuwapiga cha mapema mno halafu tunaangalia mipango mingine
Salah atapewa Azipilicueta then Christensen anamalizia mbele akiwa hoi...!!!Jamani game ijayo tunakipiga na Liverpool halafu kwao sasa. Hapa silaha yao ni M. Salah. Huyu jamaa ni ana mbio kama Lewis Hamilton kakabidhiwa Lamborghin.
Huyu inabidi atafutiwe mpango mkakati atatumaliza mapema mno atuondoe kwenye mood. Beki yao kidogo haikua vizuri naona sa ivi wame improve wanamaliza mechi hawaja ruhusu goli. Hapa cha msingi ni kuwapiga cha mapema mno halafu tunaangalia mipango mingine
Mkuu with 3+5+2 nothing to worry kabisa. Hii ni defensive machine. Najua keshokutwa Luiz atacheza ktk Champions League na dogo Andy atapumzika kwaajili ya Liverpool. Moses atakua amesharudi mana kesho Kutwa atatokea sub. All I know ni kwamba wingback zetu siku hiyo hazitafunguka sn ili kusaidia CB3 ktk ulinzi na kadri watakavokua Liverpool wanalegea ndo goma itapanda kwa nguvu.
Kingine Bakayoko na Kante tuwategemee kuwaona wakipanda sn km siku ya ATM. Yani watapiga box to box ya nguvu kuhakikisha Liverpool hawako salama huku Faby akisokomeza mipasi yake ya mauwaji..
Salah na Mane na Frimenho lazima wapotee.
Ila kuna uwezekano mkubwa Cahill akaanzia benchi na nafasi yake kuchukuliwa na Rudiger maana hutu tu Liverpool tunakimbia sn... Azpilicueta, Christensen na Rudiger hawa wanakimbia sn kuliko Luiz na Cahill.
Liverpool lazima akalishwe
Jamani Pedro hana nafasi? .
Km ataanza Basi keshokutwa dhidi ya Qarabag hatocheza.Cahill kuanzia benchi wikiendi ijayo ni ndoto mkuu..labda apate majeruhi hapa katikati!
Mengine nakubaliana nawe.
Ila Numbisa mbona unatuahidi nyama mwisho wa siku unaleta bamia.O🙂Tetesi
ARSENAL & CHELSEA ZAMWANIA RICHARLISON
Arsenal na Chelsea ndizo klabu zilizoonyesha nia ya kumsajili winga wa Watford Richarlison.
Kwa mujibu wa Star on Sunday , Gunners wapo tayari kupigana vikumbo na mahasimu wao wa London, Tottenhma kuinasa saini ya mchezaji huyo dirisha la uhamisho wa Januari.
match ngumu sana ila asibadilishe vikosi dhidi ya man u na westbromJamani game ijayo tunakipiga na Liverpool halafu kwao sasa. Hapa silaha yao ni M. Salah. Huyu jamaa ni ana mbio kama Lewis Hamilton kakabidhiwa Lamborghin.
Huyu inabidi atafutiwe mpango mkakati atatumaliza mapema mno atuondoe kwenye mood. Beki yao kidogo haikua vizuri naona sa ivi wame improve wanamaliza mechi hawaja ruhusu goli. Hapa cha msingi ni kuwapiga cha mapema mno halafu tunaangalia mipango mingine
match ngumu sana ila asibadilishe vikosi dhidi ya man u na westbrom
naamini tutanyakua point tatu muhimu huko huko anfild kwa malafyale
Naona umeanza tena kuja kujifariji mkuu 😀😀😀😀
J5 Rudiger na Luiz wataanza na huko mbele hatofanya mabadiliko kwasbbu ni mchezo wa muhimu sn kushinda. Lkn akipata magori kadhaa lazima apumzishe vijana huko mbeleHata akimuweka Pedro badala ya Bakayoko kwa mfano..naamini tutashinda.
Ingawa nahisi kikosi kitakuwa ni hicho hicho, Conte akishaanza kuzoea kikosi huwa anakuwa mgumu kweli kubadilika.
Mechi ya Jumatano pia itatupa dira ya kikosi kitakuwaje.
match ngumu sana ila asibadilishe vikosi dhidi ya man u na westbrom
naamini tutanyakua point tatu muhimu huko huko anfild kwa malafyale
Hebu niambie hao watu 6 watapita wapi hapa kwa 3+5+2[emoji780] [emoji780] [emoji780] [emoji780] [emoji780] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Hata sare huwezi pata Anfield
Lallana Hendo Coutihno
Mane Firminoh Salah
Unazuiaje hawa watu 6 walio iva ?
Acha utani mkuu hata ww unajua unalala easy tu!
Kolopo akijitahidi sn atapata sare Lkn kipigo hiyo lazimaChelsea hii imfunge Liverpool kwake?
Mkuu ulitumia Tumbaku-Mwitu kabla hujaandika haya?
2-0 easy kabisa
Mkuu with 3+5+2 nothing to worry kabisa. Hii ni defensive machine. Najua keshokutwa Luiz atacheza ktk Champions League na dogo Andy atapumzika kwaajili ya Liverpool. Moses atakua amesharudi mana kesho Kutwa atatokea sub. All I know ni kwamba wingback zetu siku hiyo hazitafunguka sn ili kusaidia CB3 ktk ulinzi na kadri watakavokua Liverpool wanalegea ndo goma itapanda kwa nguvu.
Kingine Bakayoko na Kante tuwategemee kuwaona wakipanda sn km siku ya ATM. Yani watapiga box to box ya nguvu kuhakikisha Liverpool hawako salama huku Faby akisokomeza mipasi yake ya mauwaji..
Salah na Mane na Frimenho lazima wapotee.
Ila kuna uwezekano mkubwa Cahill akaanzia benchi na nafasi yake kuchukuliwa na Rudiger maana hutu tu Liverpool tunakimbia sn... Azpilicueta, Christensen na Rudiger hawa wanakimbia sn kuliko Luiz na Cahill.
Liverpool lazima akalishwe
Km Lukaku na Kane walipotezwa na dogo Christensen seuze hao mizambwada kina Mane, Firmenoh na Sarafina?Kuna beki hapo wa kuwakalisha akina Mane?
Bakayoko atafanya nn kwa fit again Coutihno na Lallana pale nyuma?
Nakupiga 2-0 na Man of the Match kipa wenu Courtious