GETTY IMAGES
...Napenda kutuma salaamu kwa Peasant, Masanilo, Ab-Titchaz, Aljuniortz, Sanda Matuta, kaka Invisible na wengine wote wanaonifahamu
Ujumbe ni "Kilio huanza mfiwa ndipo wa mbali wakaingia"
...Naomba salamu zangu zisindikizwe na kibao cha Chege na Mh Tembe ft Nahu - Mkono mmoja weka juu!
Ahsante. 😛ray2:
OK, tukutane tarehe 27, usikimbie kama kawaida yako unakuja baada ya mechi unazoshinda tu!!
...aaaaaarrghhh, Peasant sasa unanionea. Anyway, hunisomi kwakuwa sibandiki mfululizo kama zamani.
Nimebadili mwendo kidogo. Tarehe 27 ee? haya kaka :thumb:
Ataogopage wakati Pilato amekwishatoa hukumu ... ...
khe khe kheeeeee
Wacha washabiki wa Mafioso team - Chelsick waendelee kuchungulia tu pengine wanaweza kumaliza matanga, ... ... ... mechi yao ya mwisho kushinda khe khe ilikuwa na hiki kitimu mnakijua? .... kinatoka Slovakia kinaitwa MSK Zilina khe khe kheeeeeeeeee
Hivi walicheza nao lini? ... .... ..
Yeah, 27. Natarajia utakuwa na guts za kuwepo live, au angalau kutokea hata kama umefungwa.
...tutawafunga na chenga tutawala kama kawaida! :whoo:
Naona na wewe taratibu unaanza kuwa WUM kama yule mwenzio Wacha, mbona huweki video za Drogba akiwafanya kitu mbaya?!!
Chelsick JT: Don't write us off .... ... we aren't finished like Loser Fools ...... kwi kwi kwi .... snuff snuff ...
Ataogopage wakati Pilato amekwishatoa hukumu ... ...
khe khe kheeeeee Wacha washabiki wa Mafioso team - Chelsick waendelee kuchungulia tu pengine wanaweza kumaliza matanga, ... ... ... mechi yao ya mwisho kushinda khe khe ilikuwa na hiki kitimu mnakijua? .... kinatoka Slovakia kinaitwa MSK Zilina khe khe kheeeeeeeeee
Hivi walicheza nao lini? ... .... ..
...ha ha ha!,Abramo-Genie-in the bottle!
Khe khe khe na leo hapa marufuku wasiingie kabisa .... ...labda kesho watoe draw ..... Mwezi mzima sasa umepita wanachungulia tu khe khe kheeeeeeeeeeeeeee Jamani eheeeeeeeeee Matanga mnamaliza lini?
Invisible if you can convey my condolences to Mungiki Brother, I presume he might have moved from Kibera to an unknown location fearing the worse. A month without his sight in the house of mafioso is not normal. Also without forgetting the Peasants who surround the broken bridge and the reverands (Masanilo & Kishoka) who've surrounded the bridge with homily players.
Please let Abraham O Vich not miss his timely appointment to deliver the inevitable (mpunga radhina) otherwise the matanga will not end as planned and cause dire consequencies to the Roman empire.
Khe khe kheeeeeeeeeeeee