Mbona wewe umeshindwa kuainisha makosa ya Cahill?Kama starts sio hoja kwako hasi hatuwezi elewana.
weka starts mezani sisi tunaom troll tuaibike.
Mbona wewe umeshindwa kuainisha makosa ya Cahill?
Game na Watford. Azpi alijifunga. Majuzi na Roma alifanya uzembe mpira ukapigwa mbele yake wakafungwa goli la kwanza.
Niambie Cahill alifanya makosa gani?
Unaona unavoongea vitu va ajabu.Kama kujifunga Cahili ndo anaongoza league nzima
Last season unakumbuka mechi na mancity???? cahili alifanyaje na krosi ya debrune????
mechi na spurz last season????
vs swansea????
ni game nyingi sana cahili kajifunga hata hazielezeki, azpiculeta akijifunga ni nadra hadi waweza msamehe.
LETE STARTS TUAIBIKE TUNAOM CRITICISE CAHILI.
Unaona unavoongea vitu va ajabu.
Nakupa makosa ya Azp msimu huu urakia mambo ya msimu ulo pita. Huna hoja ndugu na umeshindwa kileta makosa ya Cahill alofanya uwanjani
Unaona unavoongea vitu va ajabu.
Nakupa makosa ya Azp msimu huu urakia mambo ya msimu ulo pita. Huna hoja ndugu na umeshindwa kileta makosa ya Cahill alofanya uwanjani
Watu mnapenda sn ubishi na kwa taarifa yako Leo Luiz anakalia bench hasa baada ya Andy kushiriki mazoezi kikamilifu hizi siku za hivi karibuni.mbona unakuwa kama KHALIFA AM, kaambiwa alete starts akaanza porojo na akatokomea moja kwa moja.
NINYAMAZISHE KWA STARTS ZAO.
Hii game ya Roma Conte ndio wa kulaumiwa kwa kuvuruga timu. Kawaweja wachezaji wengine kwenye namba ambazo hawakuzizoea. Pia alijaza mabeki nyuma kama ni timu ya shule inacheza na premiere league team. Kwa upande wa Carhill general performance yake sio nzuri. Makosa mengine anayofanya ni technical kiasi kwamba kocha ndie anayeweza kujua na ndio sababu mojawapo ya kutolewa au kutoanza kwenye XIKumtoa dk 51 sio kwamba alikua kapwaya ili ni mbinu kuongeza attacker hasa ukinzingatia Azpilicueta alikua amesha fail kupandisha mipira as wingback ndio mana ikamlazimu Pedro kuja kucheza huo upande na Willian kucheza nafasi ya Pedro.
BTW mi nipo hua napita kimya kimya tu.
Baada ya kukujibu swali lako naomba nijibu maswali yng sasa.
Nitajie makosa aliyofanya Cahill mpk tukafungwa na Roma.
Nitajie makosa alofanya Cahill ktk game tatu za nyuma mana naona unataka statics sasa lete ushahidi wako kwanza
Hamna kitu kinachonikela kama kuona Conte anavyopanga mabeki wengi kuliko viungo ni kama vile hajiamini wakati chelsea ni timu kubwa na ina wachezaji wazuri wanaoleta matokeo uwanjaniHii game ya Roma Conte ndio wa kulaumiwa kwa kuvuruga timu. Kawaweja wachezaji wengine kwenye namba ambazo hawakuzizoea. Pia alijaza mabeki nyuma kama ni timu ya shule inacheza na premiere league team. Kwa upande wa Carhill general performance yake sio nzuri. Makosa mengine anayofanya ni technical kiasi kwamba kocha ndie anayeweza kujua na ndio sababu mojawapo ya kutolewa au kutoanza kwenye XI