Nahitaji kufahamu makosa alofanya Cahill mpk tukafungwa sio kwamba akiwa yeye uwanjani basi tunafungwa. Mbona Luiz anakuwemo na tunafungwa? Na ata game ya ATM Luis alimvuta mtu ndani ya box ikawa penati na kughalimu timu na kuwasumbua wenzaka na kuwakatisha tamaa kwa experience defender km yeye kufanya makosa ya kipuuzi kabisa kitu ambacho sioni Cahill akifanya hayo makosa
Sasa kwa taarifa Cahill ni fighter sn kuzidi huyo Azpi na anahamasisha wenzake na kuwapigia kelele kuliko huyo Azpi. Cahil hana kasi tu km Azpi ndio mana Conte humpa nafasi ya kupumzika ya kutosha ili kukabiliana na big gameskosa lake kubwa anashusha morali ya wachezaji wenzie, ndo maana nkakwambia starts zinaonesha mechi zote alizoanza this season tumeshinda moja tu, ila alikuwa benchi tumeshinda zote.
Luiz mpk juzi alitoa Boko tukataka kufungwa au umesahau?Kosa kama hilo last season alifanya cahili kwenye league ila mechi nimeisahau,
luiz akifanya sio frequency
Sasa kwa taarifa Cahill ni fighter sn kuzidi huyo Azpi na anahamasisha wenzake na kuwapigia kelele kuliko huyo Azpi. Cahil hana kasi tu km Azpi ndio mana Conte humpa nafasi ya kupumzika ya kutosha ili kukabiliana na big games
Zaidi ya hapo makosa mengine mnamsingizia wajameni tuweni wakweli jamani
Luiz mpk juzi alitoa Boko tukataka kufungwa au umesahau?
Bado Luis Hana nidhamu na Conte kamwambia asipofanya vzr na kubadilika atakalia benchi.
Sasa ni WP Cahill ameonywa?
Usifate mkumbo mpira unauangalia wewe mwenyewe na kuutathmini wewe mwenyewe wala hautazamiwi na mtu so usifate mkumbo kumshambulia mtu kisa raia wengi.perhaps kweli, maana leo kevin de brune kasema aliambiwa na gudiola wawatarget azpiculeta na alonso,
ndo madhaifu ya chelsea yalipo na kweli tukafungwa.
but raia wengi hatumuelewi cahili ndo maana mimi nkiona line up kapangwa naingia phamarcy kutafta panado.
Usifate mkumbo mpira unauangalia wewe mwenyewe na kuutathmini wewe mwenyewe wala hautazamiwi na mtu so usifate mkumbo kumshambulia mtu kisa raia wengi.
So far mpk hapa umeshindwa kuyaainisha makosa ya Cahill kivovote. Be positive buddy and value our prayers for what they are doing.
Sio nidhamu tu ata makosa ya kijinga anayo na mbaya zaidi amejihakikishia no ndo imekua shida. Conte will drop him out soon
Akikujibu utani tag mkuu,
Stats ktk mjadala huu hazitusaidii kitu.Lete starts za cahili as captain this season na azpiculeta as captain this season TUWAZIME MIDOMO WANAOMPONDA CAHILI.
Stats ktk mjadala huu hazitusaidii kitu.
Last season alikua assistant captain alitusaidia tukainua ndoo Azpi hawezi kuongoza team
Stats ktk mjadala huu hazitusaidii kitu.
Last season alikua assistant captain alitusaidia tukainua ndoo Azpi hawezi kuongoza team
Tatizo sijui hunielewi.Mwenzio KHALIFA AM nimemwambia alete starts atuzibe midomo tunam troll cahili kakimbia.
so naomba wewe utusaidie sisi tusiomkubali cahili ili tuonekane tuna chuki binafsi
Tatizo sijui hunielewi.
Stats wala sio hoja yangu ya msingi.
Unapomtuhumu mtu kua anakosea au hafai ni vema kuainisha makosa yake na si kwamba eti akianza tunafungwa.
Mfano game ya juzi na Roma makosa walifanya wengine lawama atupiwe mwingine hii sio fair kabisa.