Kyle Scott alikipiga flsh sana under 19 nashangaa hajawah cheza kabsa yan ..
Yan ampadu ni bora kuliko Scott, km bado camini vile... Namuelewa sana scott kwa mashut ya mbal naamin hawez kutulaza njaa km Bakayoko..,,,dogo anacheza vizuri, fabregas haoni ndani ila yeye conte kabaki kuwakumbatia akina fabregas, hivi hamuoni POCHETINO?????
wote akina Delle Alli, Harry Kane, Trippier, Winks yeye ndo kawakuza na saizi wanakuwa wanaogopeka hadi madrid anavuliwa boksa.
Yan ampadu ni bora kuliko Scott, km bado camini vile... Namuelewa sana scott kwa mashut ya mbal naamin hawez kutulaza njaa km Bakayoko..,,,
Kesho utasikia kyle Scott na Dujon Sterling wameuzwa, dah!! Hii board mbn kituko sasa.....usije ukashangaa wote hao tukiwatoa kwa mkopo na kuwauza kwa paundi 5.
Kesho utasikia kyle Scott na Dujon Sterling wameuzwa, dah!! Hii board mbn kituko sasa.....
Kwel kabsa mtu kam Van Ginkel sometym huwa inaboa daah!!POCHETTINO kani impress sana alivoitengeneza spurz hasa kwa kukuza vipaji na kuwaamini vijana.
hata jana nilijua madrid anafungwa kwa jinsi spurz walivo motivated
Ila sisi tunaongoza kutoa wachezaji kwa mikopo.
HIVI UNAJUA CHELSEA TUNA VIKOSI VITATU TUMEVITOA KWA MKOPO?????? meaning wachezaji 34
Wakuu shida ingine ni Faby. Faby never run so much au Kms nyingi sn akiwa uwanjani lkn ni mtu mzuri sn ktk kutengeneza nafasi.HIVI Inakuaje kocha CONTE hayaoni matatizo ya team ambayo yapo wazi hadi sisi mashabiki tumeyaona kwa mda sasa??????
1.ALONSO-kiwango kimeporomoka anaendelea kumpanga wakati kuna kijana wa kibrazil kennedy ni mzuri na anaku ofer vitu vingi
2. Cahili kuwa team captain wakati hastahili hata kukaa sub.
3. Azpiculeta hawezi wingback mpange sehemu anayokuwa confortable.
4. Fabregas mwaka jana hakuwa anacheza na tulikuwa tupo vizuri katikati[kante+matic] una drink water mtu wa kazi fabregas mhenga wa nini?????? fabregas is a liability and he is punishing us.
5. Bakayoko-huyu bwana ni mzito anatakiwa afanye sana zoezi la pumzi na kukimbia.
YAANI SISI FANS TUONE MATATIZO KULIKO WEWE UNAEKAA NAO MDA MWINGI??????
Wakuu shida ingine ni Faby. Faby never run so much au Kms nyingi sn akiwa uwanjani lkn ni mtu mzuri sn ktk kutengeneza nafasi.HIVI Inakuaje kocha CONTE hayaoni matatizo ya team ambayo yapo wazi hadi sisi mashabiki tumeyaona kwa mda sasa??????
1.ALONSO-kiwango kimeporomoka anaendelea kumpanga wakati kuna kijana wa kibrazil kennedy ni mzuri na anaku ofer vitu vingi
2. Cahili kuwa team captain wakati hastahili hata kukaa sub.
3. Azpiculeta hawezi wingback mpange sehemu anayokuwa confortable.
4. Fabregas mwaka jana hakuwa anacheza na tulikuwa tupo vizuri katikati[kante+matic] una drink water mtu wa kazi fabregas mhenga wa nini?????? fabregas is a liability and he is punishing us.
5. Bakayoko-huyu bwana ni mzito anatakiwa afanye sana zoezi la pumzi na kukimbia.
YAANI SISI FANS TUONE MATATIZO KULIKO WEWE UNAEKAA NAO MDA MWINGI??????
Punguzeni kulia lia basi khaa,
Wakuu shida ingine ni Faby. Faby never run so much au Kms nyingi sn akiwa uwanjani lkn ni mtu mzuri sn ktk kutengeneza nafasi.
Drinkwater ni mzuri sn na ana kasi na uwezo wa kucheza box to box lkn si mzuri sn ktk utoaji pasi. Sasa ni bora umuanzishe Nani? Km Mimi Conte ndio kocha Nampa nafasi mmoja nikiona game imemuendea vzr namuacha amalize dk90. Nikiona kachemka namtoa na kumuingiza mwingine.
Bakayoko huyu ni Defensive midfielder ndio mana Conte anataka atumia mfumo wa 3+5+2 na Bakayoko abaki km DM na Kante na Faby wacheze juu yaani nyuma ya No 9 na 10. "Rejea game ya Chelsea na ATM" Hapo timu itakua vzr lkn shida ni Wing-backs zimekua butu. Si cha Moses au Alonso au Azpi. Hapa Conte anapaswa awatumie kina Zappacosta Na Kennedy ambao hawajachoka kuweza kupandisha mipira vzr mbele.
Infact kwa huu mfumo wa 3+4+3 au 3+5+2 km wings-back hazipandishi mipira mbele vzr na Mara kwa mara basi attacking force lazima iwe poor mana itawalizimu attackers kuja kuchukua mipira na wakija kuchukua huko mbele watamua striker peke ake au striker na attacker mmoja chini ya rundo la mabeki wa timu pinzani plus na viungo wakabaji ambao kwao itakua rahisi kucontrol mipira inayotaka kupenyezwa na kuikata na kufanya marking ya man to man kuhakikisha mipira haifiki kwa Morata au Hazard.
So no wings-back ziko poor msimu na middlefielders kidogo.
Wakibadilika kidogo na spirit ya upambanaji ikiongezeka team itafanya vzr
Hata kipa hatuna mule ........... kati ya timu ambazo nauhakika tunachukua points 6 msimu huu basi ni manure, jpili tutapunguza machungu. Manure wakitufunga naahidi kutembea uchi..
Exactly!!! That's was the problem.The Mind of Conte: Why Chelsea’s awful defense cost them against Roma
Chelsea’s awful defending could be easily reflected by the score line which could go even worse.
Although their defence was a bit more compact as compared to their home match against Roma, but they needed to add more defensive elements other than forming a compact wall between Roma’s backline and midline.
Also, Chelsea managed to bring some vertical compactness this time too often causing Roma losing possession when they tried long passing across the flanks, something the Italian team could do more frequently in the first leg match.
But this improvement was not adequate enough to stop Roma players making their way into the passing lanes this way or other. Consequently, Chelsea became concerned more of the back region than of stop penetrating opposition at the midfield.
Forget the field, Blues often even faced difficulty in organizing their defence in the goal area too when facing threats of counterattacking.
The second goal was conceded when Chelsea players were occupied in pressing Roma players to stop them to get into the goal area while El Shaarawy, who was racing into the box, received a long pass from Nainggolan just ahead of Azpilicueta and scored comfortably. Had it been more organized and rigid backline support, the outcome couldn’t go that worse.