Ni vigumu kuchezesha watu 4 kati na watatu nyuma hasa wakati huu ambao Kante anatoka katika majeraha. So Fabrigas lazima aongezeke katikati.I hope tutashinda leo cha msingi kule nyuma
Rudiger, luiz, aspiliqueta
Alonso,kante,bakayoko,zappacosta
Pedro hazard, morata
Ndiyo.Hivi inaanza saa ngapi, nimecheck google ni saa 22:45 je hizi ni saa za east africa?
Hii line up in disaster defensive , yaani clean shit iwe ya muujiza tu.Hii kumpanga Azpilicueta hapo??? Sijui...
Halafu wing atayocheza Rudiger si ndo aliko Alonso!???? Sijui...
Anyway, lets hope for a good game... [HASHTAG]#KTBFFH[/HASHTAG] [HASHTAG]#CFC[/HASHTAG]