Guantanamo Sobibor
JF-Expert Member
- Aug 20, 2017
- 897
- 1,133
Uliangalia mechi na Atletico Madrid? Uliangali mechi na Spurs? Uliangalia mechi na Burnley?Tunaangalia na timu yetu ilivyo, kufungwa sio tatizo kabisa, lakini hatuna timu ya upambanaji
Wakati Costa yupo Batshuayi alikuwa chaguo la pili na hadi sasa ni chaguo la pili hivyo hakuna kilichobadilika.Ondoka Costa baki Batshuayi
Ondoka Matic lete Bakayoko/Drinkwater!!
Kuna makocha wana ego za ajabu sana na wandhani ni mbinu zao zinafanya team ishinde wala sio wachezaji
Conte anafukuzwa hata Dec haifiki,kocha wenu mwehu!
Ahahahaha ahahaha
Kabisa mkuu.Poleni wakuu, kante na morata ni watu muhimu kwenu
Musonda namkubali sana anaweza.
Nakubaliana na Conte, huyu dogo akiachana na social media akajikita uwanjani atakuwa mchezaji mzuri na tegemezi kwetu...
Uliangalia mechi na Atletico Madrid? Uliangali mechi na Spurs? Uliangalia mechi na Burnley?
Au unazungumzia upambanaji wa aina gani?
Wangetoa huyo dogo akabak Tammy Abraham.... Ata Conte mwenyew alilia sana Tammy abaki ila board ya chelsea ni washenz sijui shiit...,,,???
Nakubaliana na Conte, huyu dogo akiachana na social media akajikita uwanjani atakuwa mchezaji mzuri na tegemezi kwetu...
Mwenyewe***** zeny nyie...mlikuja kuchafua uzi wetu kule OT kumbe nyie ndo mmekun.ya kabisa...mlileta mainzi tu kule...