chilumendo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2013
- 3,434
- 4,500
Kama mna mechi ngumu hesabuni maumivu maana kukosekana kwa Kante pale katikati lazima kutaleta madhara kwenye mechi ngumu.
All the best.,
vibondeKama mna mechi ngumu hesabuni maumivu maana kukosekana kwa Kante pale katikati lazima kutaleta madhara kwenye mechi ngumu.
All the best.,
Conte kasema atakuwa akimtumia Luiz kama kiungo pia pale itakapo hitajika kufanya hivyo kwa wakati huu ambao Kante na Drinkwater hawapo hivyo anahesabu kama ana viungo watatu.hivi kwanini willian asiwe anatumika kama midfielder??????????????
maana hata alivokuwa shaktar donetsky alikuwa anacheza middle,
kwanini conte asimbadilishe akawa anatokea middle ya chini as coutinho anavocheza nowdays pale liver???????
kante injury, drink water/beer injury so we are insufficient in midfield only two available[bakayoko+fabregas]
na fabregas nae sikuhizi kachoka hana pace anasubiri tu apige pass za mwisho.
Conte kasema atakuwa akimtumia Luiz kama kiungo pia pale itakapo hitajika kufanya hivyo kwa wakati huu ambao Kante na Drinkwater hawapo hivyo anahesabu kama ana viungo watatu.
Wakuu mechi za mwezi huu zote ni kushinda tu hakuna namna...inatakiwa turudi kwenye nafasi yetu
kabisa yaniWakuu mechi za mwezi huu zote ni kushinda tu hakuna namna...inatakiwa turudi kwenye nafasi yetu
hamna mechi soft kwenye ligi chochote kinaweza kutokea kumbukumbu nzuri mechi dhidi ya burnley ambayo ilionekana nyepesi kwetu tukafungwa tena nyumbani na ile ya tottenham ambayo ilionekana ndiyo ngumu kwetu tukashinda anyway tuombe mambo yawe mazuri kwetu.mkuu, mechi za october zote soft maybe champions league vs as roma but nayo laini.
so uhakika wa kushinda ni 98%.
cheers us through the sun and rain.
KTBFFH.
Hilo ndiyo tatizo lake kubwa sana kukamia na kukaa sana na mpira lakini kama angeweza kuimprove sector hizo mbili ambazo kutokana na umri wake sidhani kama ata improve tena angekuwa moja kati ya mabeki wa kati bora kabisa duniani na hata nafasi yake timu ya taifa isingekuwa mashakani mara kwa mara.LUIZ mzuri sana ila sometime anakuwa na temper leading early panicking, ila akitulia ni bonge moja la msaada kwa team both deFensively and in the middle
im a huge fan of DAVID LUIZ.
ALL WE NEED IS WIN.
Hilo ndiyo tatizo lake kubwa sana kukamia na kukaa sana na mpira lakini kama angeweza kuimprove sector hizo mbili ambazo kutokana na umri wake sidhani kama ata improve tena angekuwa moja kati ya mabeki wakati bora kabisa duniani na hata nafasi yake timu ya taifa isingekuwa mashakani mara kwa mara.
Yule kijana wanamwita impadu nafikikiri anaweza sana kuicheza hii namba kama maji hajapona
Ni kweli hatuna match kubwa kihivyo sema shida ni batshuay kama yuko tayari kutufungia magoliWakuu mechi za mwezi huu zote ni kushinda tu hakuna namna...inatakiwa turudi kwenye nafasi yetu