mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 46,747
- 57,940
Tuna vunja mwiko Leo.tuna muua pep.Wachambuzi wengi wa leo wameshikwa woga na wengi wameishia kutabiri match ya leo baina ya chelsea vs man city kuwa itaisha kwa sare
Sio wao tu hata wazee wa kubeti wanachezea sare tu match ya wakubwa hawa
Na mimi nikiri pia ni match ngumu sana ambayo hata ikiisha sare yatakuwa ni matokeo bora kwa team zote 2
Match ya leo itamkosa aguero na pia itamkosa luiz
Hii ni match inayoamuliwa na wachezaji wazoefu kama watakuwa katika viwango vyao
Kama chelsea fans ningependa kuona wakishinda
Kiukweli ni match ngumu mno ila
Naamini kama ushindi ukikosekana basi sare pia itakuwa ni matokeo halali kabisa
Mi pia napenda tushinde itakuwa bomba sana ila mchezo ni mgumuMkuu hii game tutashinda japo siwezi tabiri ni kwa goli ngapi lkn tunaenda shinda. na natabiri Eden10 atapata goli lake la kwanza leo msimu huu
Ubingwa wa Ligi Kuu ya UingerezaBingwa wa UEFA mtetezi ninaemjua ni madrid, au unazungumzia bingwa gani?
Achana na huyo mchawi anajitoa ufahamu.Ubingwa wa Ligi Kuu ya Uingereza
naona unaendelea kujali.Wakuu tupo pamoja....draw itakuwa matokeo mazuri sana...
Man City kama wako kwao...!naona unaendelea kujali.
ili kuepuka na aibu wanatakiwa kupata droo tuMan City kama wako kwao...!
Tafuteni droo tu inatosha kwa leoMbona mshambulizi wetu ametolewa mapema hivi?
Ameomba kutoka mwenyeweMbona mshambulizi wetu ametolewa mapema hivi?
Kwanini utuambie hivyo? Hayo ni matokeo uwanjani lakini nia kwanza ni ushindi.Tafuteni droo tu inatosha kwa leo
Maji yamezidi unga?Ameomba kutoka mwenyewe
Itakuwa amepata tatizo la misuliMbona mshambulizi wetu ametolewa mapema hivi?