Nimepita tu kuwapa hii ze bluz, nadhani matokeo yenu na Sunderland mnayo sihitaji kuwapa. Football is not about ball-possession or goal attempts, its about putting the ball inside the net in between the three poles be it an own goal or otherwise. Ndo dakika tisini hizo. Karibuni emirates!
mie sio mshabiki wenu lakini kitendo cha kumtosa wilkins kwa njia hile kiliniuma sana.
Ni ngumu kuamini lakini ndo hivyo tena jahazi limetota!!
Kwasa Wacha na Mbu,
Tunakubali leo tulitokea uwanjani bila madhumuni wala lolote, tunastahili hicho kipigo cha aibu na hakuna kuleta vijisababu vya kijinga au kulaumu refa. Ni sisi wa kujilaumu na hii it better becomes a wake up call! Carlo alisema January habadilishi mtu, he may need to think again! We need strong defense minded midfield. Leo kocha wa Nigeria keshaingia akilini mwa Mikel anadai eti mpira wa dogo unashuka... go figure.. naye ka Ramirez sijui tukashindilie Ugali na Mbaazi avimbishe misuli or what, ni udhaifu mtupu.
I miss Ricardo Cavallho, Deco, Ballack and may be to some extent Joe Cole, watu wa kiujituma.
Camerlengo
Unasahau kitu kimoja Chelsick ni mafia team, unakumbuka jinsi Gullit walivyomtosa? Tabia kama ni ya wizi kama mkwere haiwezi kubadilika ni wewe pamoja na washabiki ambao wanaweza kubadilika sio mafia team.
Update hii tafadhari,Chelsea cheziiiiiiiiiro zero 0 Sunderland 3Chelsea imeichapa sunderland tano mtungi (5-0)
nicolas anelka akipiga tatu.
Nimependa Zenden alivyocheza kiwazenza na Asamoah jana baada ya Asamoah kufunga bao la 2.Update hii tafadhari,Chelsea cheziiiiiiiiiro zero 0 Sunderland 3
Hehehehehe, safari hii wamelipa majibu!Chelsea imeichapa sunderland tano mtungi (5-0)
nicolas anelka akipiga tatu.
Baada ya break ya mechi z akimataifa hali inaweza kuwa mbaya zaidi.
Wajua hii recession itatuumiza sana mwaka huu, Chijui huu umafioso wetu kama
kweli tutafika maana tuna gurupu la mapensioners hapa!
Ule mpunga wa kuwapa ma-referee haupo tena du! makubwa haya
Chacha chijui kama watanitosa na mimi?
Shhhh usimwambie Invisible nilikuwepo uwanjani ... ....... Jordan Henderson huyo
Nedum Onuoha anauliza wapi Petr Check ..... upo hapo ..... ...... .Angalia Rev Masanilo mwenzako Peasant kakimbia .... ...
Nawe Asamoah Gyan vipi ungesubiri ujumbe umefikisha? Siyo mbaya nasikia Abraham O Vick kaumia mguu alijaribu ati kuzuia mpira usiingie golini akagonga meza khe khe kheeeeeeeeeee
Those are my boys ... ..... .... ... hala hala Mungiki brother usije ukajiua tu huko Kenya kwenye forced ban ... .....
Hii noma sasa kumbe Premier League siyo Chandimu! ... Ramires ...
Danny Welbeck alikuwa kwenye party na Cash Cole Jumamosi wakakubaliana muafaka kama ule wa Zanzibar khe khe kheeeeeeeeeeee
Petr Cech baada ya kusalimu amri kutoka kwa Kamanda Michael Turner
Duh! Uzee mbaya nimechoka kweli kweli Kama Abraham amefilisika aseme tu mimi nita-retire soon ..... ... kuliko hii fedheha
Nimependa Zenden alivyocheza kiwazenza na Asamoah jana baada ya Asamoah kufunga bao la 2.
Ab-Tichaz na Invisible wako wapi?
Halafu jamaa anaonekana ni mwanamuziki kabisa check hii nayo
RayB
Naona unaendeleza matanga tu hapa hivi walianza Loserfools kuwapachika magoli chacha tunasubiri matanga yaishe lakini shida kubwa ipo mpunga kwishnei ... ...