Ni kweli mkuu. Imemchukua muda mfupi sana ku cope mazingira mapya. Kuhimili maneno na majungu. Ndio uzuri wa wazungu bhana
Wadau vp mechi ya jana mmeionaje? Tumepiga mpira mwingi sana
una matatizo yakuwa na amani wewe tunaomjua Gary Cahill tangu anahamia kutoka Bolton 2012 tunamuelewa.
Haikuwa historia tena Bali imekuwa maumivu kwao......Chelsea siyo Timu ya kubeza always I tried to tell you.......!!!
Kabla ya mechi ya leo: No English club has won away to Atletico Madrid, and their coach Diego Simeone has remained unbeaten by the English, too.
Daah!! Yan ungejua kama alkua target ya madrid kisilisili....Carhilk thayuko fit msimu huu, hizi ligi za ulya sio kama hizi za huku kwetu zinazotumia majna makubwa. Akae benchi mpaka atakapokuwa fit, kila mechi ni fainali na inatakwa a strong team. Kocha anawajua wachezaji kuliko sisi. Hivyo nawashangaa sana wanaomtetea Car Hill acheze wakati kwa sasa ni mzigo. Afanye mazoezi ya kutosha akiwa fit kocha atampa namba.
Mkuu hujanielewa. Cahil ni mchezaji mzuri na beki mzuri ila akiwa anacheza na beki wanne nyuma. Kwa sasa tukiwa na beki watatu nyuma yupo aliye bora kwenye mfuo huo zaidi yake. Rudigeruna matatizo yakuwa na amani wewe tunaomjua Gary Cahill tangu anahamia kutoka Bolton 2012 tunamuelewa.
AHSANTE. Hongera na wewe kwa ushindi wa goli 4. Au wewe siyo man uMajirani mmeupiga mwingi hongereni mlistahili ushindi
Hadi mabenk wanakusahau na kutupilia mbali deni lakoAchana na goli la batman, what a pass from bakayoko. 'Pasi inaondoa madeni sugu na kunyoosha nguo zote hata bila umeme'.
Akilizoea 'daraja' atazidi kuwa mtu hatari sana huyu jamaa.
Safari hii atasalender tho ni mbishi na Ronaldo wake.....but any thing can happen.Halina ubishi mkuu na ukizingatia ronaldo na benzema umr umeenda
Hongereni kwa ushindi wa jana sasa tushirikiane kumbana zizou yule peke yake anaonekana mtu mtu hatar ktk mashindano haya.
Man u khaswa shukurani kwa kuni pongeziAHSANTE. Hongera na wewe kwa ushindi wa goli 4. Au wewe siyo man u
Man u khaswa shukurani kwa kuni pongezaAHSANTE. Hongera na wewe kwa ushindi wa goli 4. Au wewe siyo man u
Muda mwingine unaongeaga point sana...inabidi nikupongeze kwa hilo kama siyo hoja za kinafiki. Pili upo tofauti na kina Mkurya one na malafyale ambao hata wakizidiwa bado wana kuja na utabiri wao uchwara.....tho nimewamisi utabiri wao. "Mkurya one yeye Alisema Morata hata funga hata goli moja mpka ligi linaisha akaongeza kidogo na kusema akijitaidi sana atafunga goli moja".....Malafyale na Mkurya one...mpo wapi..?Na nilitegemea tu akirud hazard huyu dogo atakuwa free zaidi kipind kile anacheza key player wako bench hasa hazard na bakayoko dogo alikuwa na presha na timu inahitaj matokeo mwenye timu hazard hayupo
AmenBlessed The Almighty Chelsea ,pray to finals, viva
[HASHTAG]#uefa[/HASHTAG]
[emoji3] [emoji3] niliiona bana kama alikuwa hataki vile bakayoko ni kifaa kwa kweli tumelamba dume lina vitu vingi sanaAchana na goli la batman, what a pass from bakayoko. 'Pasi inaondoa madeni sugu na kunyoosha nguo zote hata bila umeme'.
Akilizoea 'daraja' atazidi kuwa mtu hatari sana huyu jamaa.
Mkuu ma striker huwa hawapondwi hata siku moja muda wowote wanakuacha uchi mm ktk makuz yangu na kuujua mpira huwa simpondi mshambuliaji mana kuna kipindi wanapoteza fom wakiipata huwa ni shidaMuda mwingine unaongeaga point sana...inabidi nikupongeze kwa hilo kama siyo hoja za kinafiki. Pili upo tofauti na kina Mkurya one na malafyale ambao hata wakizidiwa bado wana kuja na utabiri wao uchwara.....tho nimewamisi utabiri wao. "Mkurya one yeye Alisema Morata hata funga hata goli moja mpka ligi linaisha akaongeza kidogo na kusema akijitaidi sana atafunga goli moja".....Malafyale na Mkurya one...mpo wapi..?
Haya yote ni kwasababu hataki kupitwa na mshambuliajiKaka naona wewe humkubali Cahill kabisa, Mbona ni neki mzuri sana. Anyway Luis naona ameanza kulegea na ndio kwa sasa anaonekana kuwa weak link, Mechi na Arsenal angetucost kwa kadi nyekundu ya kujitakia kabisa, faulo ya jana ni ya halali kabisa, nadhani anaanza kupoteza focus ya kujua makujumu yake,
Japokuwa Chelsea tunachezesha mabeki watatu nyuma, lakini mara zote kuna kuwa na sweeper au Libero mmoja na Luis ndio huwa mtu wa Mwisho, lakini kwa sasa anatucot na faulo zake zinaigharimu timu