Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,033
- 27,391
Kweli mzee.. [emoji4] [emoji4]Halina ubishi mkuu na ukizingatia ronaldo na benzema umr umeenda
Hongereni kwa ushindi wa jana sasa tushirikiane kumbana zizou yule peke yake anaonekana mtu mtu hatar ktk mashindano haya.
kwa mifano ipi unaweza kusema cahill kwa sasa ni mzigo na hayuko fitCarhilk thayuko fit msimu huu, hizi ligi za ulya sio kama hizi za huku kwetu zinazotumia majna makubwa. Akae benchi mpaka atakapokuwa fit, kila mechi ni fainali na inatakwa a strong team. Kocha anawajua wachezaji kuliko sisi. Hivyo nawashangaa sana wanaomtetea Car Hill acheze wakati kwa sasa ni mzigo. Afanye mazoezi ya kutosha akiwa fit kocha atampa namba.
Kweli mzee.. [emoji4] [emoji4]
Na nyie hongereni bhana
Hahaaah.. mkuu kule tumeshamaliza bhana.Haya sasa turudi kwenye mtanange wetu ya myweather tupe kula
Morata kaimalika uongo mbaya nliangalia gem ya jana na ya stoke city zile movement zake ni nzur kwa striker
Mkuu popote ulipo mshukuru Mungu kwamba hupotezi muda wako kuangalia mpira kwasababu unauelewa maana watu kama wewe mpo wachache sana humu.Kaka naona wewe humkubali Cahill kabisa, Mbona ni neki mzuri sana. Anyway Luis naona ameanza kulegea na ndio kwa sasa anaonekana kuwa weak link, Mechi na Arsenal angetucost kwa kadi nyekundu ya kujitakia kabisa, faulo ya jana ni ya halali kabisa, nadhani anaanza kupoteza focus ya kujua makujumu yake,
Japokuwa Chelsea tunachezesha mabeki watatu nyuma, lakini mara zote kuna kuwa na sweeper au Libero mmoja na Luis ndio huwa mtu wa Mwisho, lakini kwa sasa anatucot na faulo zake zinaigharimu timu
Ni kweli mkuu. Imemchukua muda mfupi sana ku cope mazingira mapya. Kuhimili maneno na majungu. Ndio uzuri wa wazungu bhanaMorata kaimalika uongo mbaya nliangalia gem ya jana na ya stoke city zile movement zake ni nzir kwa striker
Ni kweli mkuu. Imemchukua muda mfupi sana ku cope mazingira mapya. Kuhimili maneno na majungu. Ndio uzuri wa wazungu bhanaMorata kaimalika uongo mbaya nliangalia gem ya jana na ya stoke city zile movement zake ni nzir kwa striker
una matatizo yakuwa na amani wewe tunaomjua Gary Cahill tangu anahamia kutoka Bolton 2012 tunamuelewa.Hayo maneno yatakuwa hivyo siku zote. Cahil akiwa uwanjani sina amani Mkuu.
yani zaidi ya sana ile ndo Chelsea katika ubora waoWadau vp mechi ya jana mmeionaje? Tumepiga mpira mwingi sana