Sio kiburi Mkuu, tumepata morali zaidi ya kutaka kuendelea kutoa dozi ili kumtetea mwali wetu...
Tena hapo alipo ukimzingua tuu ana kupa za uso...
Kama kawaida kocha alikuwa bize akitoa maelekezo...kasema yeye ni kocha sio meneja!
Wanataka kuja kucheza mpira na vijana wenzao![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama kawaida nilijua utakuja tu.
Ox na Van Dijk wanakuja, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hongera sana
Wewe nakupiga easy zaidi!Utaishia kumpiga arsenal tu ukikutana na mimi nakubomoa malafyale
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Mkuu napenda huja zako kwa sababu unaandika ili tu ujibiwe.Wanataka kuja kucheza mpira na vijana wenzao!
Ni ngumu kwa Ox au Djiik kupiga one two one two na trash Batushuayi
Naona siku hizi amekuwa Mane ndio star player, Coutinho vipi kwani? Nani kakuambia Cahill anarudi, okay! najua utakuwa huangalii mechi za Chelsea ila Rudiger ndio anacheza na usitaraji Cahil kuanza mechi kubwa kwa sasa.Wewe nakupiga easy zaidi!
Cahil na Luiz?
Ndiyo wamzuie Mane?
Punguza utani aisee
Bila Coutihno ona stats hiziNaona siku hizi amekuwa Mane ndio star player, Coutinho vipi kwani? Nani kakuambia Cahill anarudi, okay! najua utakuwa huangalii mechi za Chelsea ila Rudiger ndio anacheza na usitaraji Cahil kuanza mechi kubwa kwa sasa.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
We understand Chelsea have agreed a fee with Arsenal for Alex Oxlade-Chamberlain. The 24-year old is currently with the England squad at St George’s Park.
Kweli hana haja kabisa, hongereni mkuuBila Coutihno ona stats hizi
3-3
1-0
2-1
4-2
4-0
Coutihno wa nn kwenye stats kama hizi?
Pauni milioni 35 zinamtoa arsenal kumpeleka chelsea
Bado hamyaogopi MAJOGOO?
Jana Lallana na Coutihno hawakuwepo
Anakuja Van Djiik na OX week hii
Wewe nakupiga home and away
MAJOGOO yanachukua ubingwa wao mwezi wa March
Kati ya wachezaji naowaona ni mabox basi huyu jamaa ni mmojawapo, badala ya kumchukua Sanchez!! tunamchukua huyu galasa.