Kunguru Mjanja
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 2,047
- 3,980
- Thread starter
-
- #41,921
Yeah! Hiyo sio partnership ya kazi. Ni ya kutengeneza nafasi zaidi. Sijui kwa mechi hii itakuaje, lakini najua akizingua Fab, Baka ataingia tuHii Partinership ya Cesc na Kante sijaipenda sana
Yani kila chelsea ikichukua ubingwa wa epl basi msimu unaofuata tunazembea kwenye usajili. Conte amesema anataka wachezaji wengine 4 ili aongeze nguvu kwenye kikosi. Msimu uliopita chelsea ilitumia wachezaji 13 tu kwenye msimu mzima, msimu huu tuna mashindano mengi hivyo itakua ngumu kwa wachezaji tulio nao.
Nadhani umefika wakati sasa mmiliki atafute kocha anayeweza kutumia wachezaji vijana maana chelsea academy na scouting team inafanya kazi nzuri ya kuleta vijana ila timu kubwa hawapewi nafasi. Nawaangalia tammy abraham, loftus-cheek, ake na chalobah kwa umakini msimu huu kisha utagundua jinsi tulivyozembea.
Kwa siku chache zilizobaki nadhani wajitahidi kuongeza angalau mchezaji mmoja kila nafasi ili mambo yawe msawazo. Win,loose aor tie chelsea till i die. Blueblood.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah! Hiyo sio partnership ya kazi. Ni ya kutengeneza nafasi zaidi. Sijui kwa mechi hii itakuaje, lakini najua akizingua Fab, Baka ataingia tu
CHELSEA Vs EVERTON - EPL
Substitutes v Everton - Caballero, Christensen, Tomori, Bakayoko, Kenedy, Musonda, Batshuayi
Chelsea ana kufa, weka nyumba.
kwani ukiishangilia chelsea tatizo nini?All the best wakuu....niko pamoja nanyi ingawa nitakuwa nashangilia Everton kwa moyo wangu wote
Come On Toffees....!
Utakufa na plesha watu washaa tupiamo 2!Chelsea ana kufa, weka nyumba.
Wakija huwa wanapokea 5 naona zinaelekeaChelsea 2 - 0 Everton
Fabregas 27'
Morata 40'
Na muda siyo mrefu tutambadilisha jina tutamuita MoregoalHuyu Morata atafikisha magoli 30 msimu huu...
Sawa mzee. Na ushindwe na ulegee. Ikiwezekana utokomoee kunakojulikana.All the best wakuu....niko pamoja nanyi ingawa nitakuwa nashangilia Everton kwa moyo wangu wote
Come On Toffees....!