Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

41FC52BB00000578-4660880-image-a-39_1499074805791.jpg

Diego Costa says he's waiting for Chelsea to set him free. Not coming back to London. Only destination Atlético: "I must return to Atlético"
Jamaa anaendelea kulipwa £150000 (432653697.00 Tanzanian Shillings) per week wakati yuko brazil anakula good time.
Kuna faini usipohudhiria mazoezi bila kibali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Total goals scored this season so far
Lukaku 2
Chelsea FC 2
Lukaku = all chelsea players combined.

Yes am cunt, next question?

ALVARO MORATA-30mins 1 goal+1 assist.
kuna mwenye tatizo???
 
  • Thanks
Reactions: SIM
Selection Crisis at Chelseafc on Sunday.

Eden Hazard and Tiemoue Bakayoko play in 8-0 win over QPR at Cobham

Confirmed: Bakayoko available for Chelsea against Spurs, Hazard could be, too

Thanks GOD.
 
Selection Crisis at Chelseafc on Sunday.

Eden Hazard and Tiemoue Bakayoko play in 8-0 win over QPR at Cobham

Confirmed: Bakayoko available for Chelsea against Spurs, Hazard could be, too

Thanks GOD.
wagonjwa bado itabidi wachomwe sindano za kushtua misuli..
 
Chelsea bana yani hiyo kwenu imekuwa habari kuu utazani makocha wengine hawajawa nominated
Naona hadi official page yenu wameposti acheni ako ka ushamba bhana mbona page kubwa zingine iyo sio habari au mmebahatisha nn

Sent using Jamii Forums mobile app

baada ya team yako kukosa wawakilishi ulitegemea wampost nani????? ander herera au pogba???
pogba angekuwa shortlisted usingelala kutwa kupost i bet.
 
Antonio Conte on Andreas christean- i trust him, he is the young player and has experience at borrusia.
conte hapa kanigusa huyu dogo chris ni bonge moja la beki, cahil anatakiwa awe anapigwa benchi na huyu dogo ndo achukue iile namba ya cahili.
 
Akisimama na rudiger its just a matter of time before ku make wonderful combination

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yes, Martial anatatizo maana 10 mins 1 goal + 1 assist sounds reasonable than that of Hamorata.

mkuu ikifika december utawakataa hao akina lukaku, wewe ni mgeni na epl??????
last season manU mlianza kwa mbwembwena pogba ndo aliteka media attt the end of the season mkaishia #6.
so tunaoijua epl kipimo chetu ni kuanzia december, february.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom