Yani mtapekuwa kila kitu we umejuaje kama hana furaha na habari zako za udakuAlvaro Morata has told Real Madrid pals he's not happy at Chelsea express.co.uk/sport/football… [HASHTAG]#CFC[/HASHTAG]
No wonder unashabikia rent boys.
Ronaldo toka alivocheza confederation cup hakuwahi gusa uwanjani hadi mechi na Manchester, ulitegemea aende straight kwenye starting XI?
Hamorapa wenu mlikua nae kwenye pre season lakini bado kwenye ligi anasugua benchi, alafu mnatuambia ni world class striker. [emoji23] [emoji23]
Tuwashikie nafasi na batshuai wenu mtafika lini..,,???
Alikua juve ka adopt mfumo hadi kaondoka, kaenda madrid ka adopt mfumo hadi kaondoka. Kituo kifuatacho cha kuadopt mfumo ni chelsick.alikuwa ana adapt mfumo, subiri aje akudunge akili zikukae sawa hadi ukiri kuwa ni WORLD CLASS STRIKER.
ALVARO MORATA-30mins 1goal+1 assist.
Alikua juve ka adopt mfumo hadi kaondoka, kaenda madrid ka adopt mfumo hadi kaondoka. Kituo kifuatacho cha kuadopt mfumo ni chelsick.
Yes am cunt, next question?
Kumekucha
Sent From My Nokia Ya Tochi
Martial 10 minutes 1 goal, 1 assists [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]alikuwa ana adapt mfumo, subiri aje akudunge akili zikukae sawa hadi ukiri kuwa ni WORLD CLASS STRIKER.
ALVARO MORATA-30mins 1goal+1 assist.
We kweli jinga unamlinganisha mtu ambaye alikuwa kwenye league na yule ambaye ni mgeniMartial 10 minutes 1 goal, 1 assists [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kweli mmepoteana
Sent using Jamii Forums mobile app
Shida ni emenalo na najua mpaka dirisha lifungwe hatukosi watatuMATEO KOVASIC ni bonge moja la kiungo, hivi conte hamuoni huyu mtu hadi awatake akina drink water???????
scouting yetu na board ipo kizembe sana round hii.
huyu kovasic namuona ndo ange solve tatizo la defensive midifield.
Hhahaaa ndomana nasema mmepoteana [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]We kweli jinga unamlinganisha mtu ambaye alikuwa kwenye league na yule ambaye ni mgeni
Mkuu wewe hujui chochote kuhusu[emoji460] tulia jifunze kwanza ukishajua ndio uje kuchangia huku unajitia aibu mkuuMartial 10 minutes 1 goal, 1 assists [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kweli mmepoteana
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwingine ww kama kawaida yenu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mkuu wewe hujui chochote kuhusu[emoji460] tulia jifunze kwanza ukishajua ndio uje kuchangia huku unajitia aibu mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu jamaa ni fuata upepo tu haelewi hata anachoshabikia.We kweli jinga unamlinganisha mtu ambaye alikuwa kwenye league na yule ambaye ni mgeni