mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 46,911
- 58,383
Msije mkamchukia baadae.gari la shamba hilo.mwache fabregas afanye yakeyaani Chelsea mfungwe nyinyi mtake wote wafungwe kwa ujinga wenu
Matic mmemuuza unabaki na Fabregas ??
Karibu sana tukasherekeee.Yaani ww mungu anakuona leo wallah
Usisahau kuja kwenye Uzi wetu kuna mambo matraaaaamMsimu uliopita hakuna timu ya top 4 iliyompiga Burnley nje ndani. Usiwaite watoto bhana. Shughuli yao usije kuifananisha na timu nyingine bhana.
Sisi atumuhitaji ndo maana tuliwapa.yaani Chelsea mfungwe nyinyi mtake wote wafungwe kwa ujinga wenu
Matic mmemuuza unabaki na Fabregas ??
Glad we ruined your day[emoji23] [emoji23]Hawa mbwa washaanza maneno....
Mkuu we waache tu naona wanachungulia tu hahahahaaa kawaziba midomo
december mtaanza mtukana huyu.
yaani Chelsea mfungwe nyinyi mtake wote wafungwe kwa ujinga wenu
Matic mmemuuza unabaki na Fabregas ??
Kama nyie mlivyoanza kumtukana Boss wenu[emoji23][emoji23][emoji23]
boss wetu yupi tunaemtukana mkuu????????
sisi jipu letu ni mike emenalo.
Ndio boss wa timu uyo sasa[emoji3]
haitotokeadecember mtaanza mtukana huyu.
Si mlisema hafungi Atakuwa galasa .. Mpaka sasa ana magoli 5 At united... Endeleeni kupiga ramli hivyo hivyo tutakutana huo mwezi Decemberdecember mtaanza mtukana huyu.
Bila uzembe wa timu pinzani hakuna golimorata naye kashinda kwa uzembe wa timu bunley
hahahhahaha
kikundi cha wahuni na maboga