Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,055
- 27,460
Hivi vitimu vyingine sio vya kuaminika. Burnley wanaweza kushindwa kulinda magoli yao wakaishia kudraw au kufungwa. Weekend ilikuwa inaelekea kunoga baada ya Liverpool kudraw,Chelsea kufungwa
Hivi vitimu vyingine sio vya kuaminika. Burnley wanaweza kushindwa kulinda magoli yao wakaishia kudraw au kufungwa. Weekend ilikuwa inaelekea kunoga baada ya Liverpool kudraw,Chelsea kufungwa
Atoke nje akatafute kazi nyingine ya kufanya!!Fabregas kadi nyekundu
hhahahahahahaaaa naona daraja linapasuliwa kwa bua!!!Majeruhi wengi. Kikosi bado kinahitaji wachezaji wengine wapya. Kwa game km ya leo kupata ushindi ni kazi kwa sababu wachezaji psycholigically they are not ok. Labda suluhu otherwise mpira dakika 90.
Kafungua leoMorataaaaaaaaaaaaaaaaaaa