Kunguru Mjanja
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 2,047
- 3,980
- Thread starter
-
- #40,821
cute b jamani we dada, basi tuvumilie tumekosa sisi tumekosa sana. Kwani leo umetokea wapi jamaniKwa hiyo mkuu hiyo ilikuwa ni penalty?
Ha ha hahaha .
Sawa mkuu vipi kuhusu morata , amefunga ngapi??
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mungu anakuona. Leo kweli mmeamua aisee.ahahahahahhaha nimesogeza kabisaaa[emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350] hii itafaa zaid
Ha ha ha ha.Cute b ni noumaaaa!!! Jukwaaa lililala sana ngoja tuanze kampeni zetu mtaa kwa mtaaa kama vile twatafuta unga hahahhaha
Hajamkataa aliomba mwenyewe kuondoka mapema tuJapokua mm sio mshabiki wa Chelsea...
Sioni sababu ya msingi hasa ya Conte kumkataa Costa ambaye ameshaprove kwenye ligi ya England.
Forwards wamekua adimu sana kipindi hiki Halafu unamkataa Costa mpambanaji.Morata ni kama kamari mnacheza akichemsha mtarudi kwa Batshuayi..real???
Nilikuwa napambana na hali yangu mkuu. Ila imeshindikana teh tehTuko vizuri uwepo wa klop ha ha haaa. Ulijificha wapi?
Bila shaka cute b kakufichua mana nae sijui alikua wapiii
Jamani shemeji yangu Kimariooo (in chaga's voice) sisi Man U hatutalia kamweeeee!!! Hahahha shemmm usimaind hapa twachangamsha tu jukwaaaa ila msimu huu future yenu ni ndogo sana ila usijali nitakuwa hapa kila wakati kukufariji.Mashabiki wa asenal na man u mnacheka mwanzo mwishoni mnalia
Haya ngoja tutawaona
Leo tunaomboleza uchambuzi kesho hahhahahahahahNi kweli kabisa yaani, na Fabregas hawezi kusimama na Kate pekee au na Bakayoko pekee.
Vinywaji vipo , kunyweni mpate nguvu si unajua msiba tena mmeishiwa nguvuAsante sana best, sijaona vinywaji ningekunywa aisee
Acha kunitisha best, nitakuja vizuri kukucheka. Lazima nilipe hili unalonifanyia leo ha ha ha ha
H ha ha tutakaa nje[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tutafunga madirisha na vioo kabisa
Kuna habali nimesikia ntaka niaikie kutoka kwako teh teh
Hahahhahaha watajuatraaaaa maana modes wa jukwaa niiiii.....hahahhahaha!!!!Ha ha ha ha.
Ni mwendo wa kuamsha popooo....
Pale cute b pale everlenk ..mbona watatuombea ban
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani nilikuwa mtoto Manga ML?Ila kwa umakini mana umekua sasa kuna taalifa sina hakika natamani unambie mwenuewe
Apewe yoyote tu ila hiyo haimfaiHalafu Pedro apewe namba ngapi mkuu?
Ha ha ha mtu kapewa kupiga penat kapiga mpira namna hiyo msimu huu watapona kweli ?
Morata mwambieni hii ndo England ligi ya wababe fitina fitaniiii!!!!!Apewe yoyote tu ila hiyo haimfai
Yote kwa yote naamini morata ni ugeni unamsumbua
Ugeni ukiisha tutampenda wenyewe tu
Sasa tatizo haunijibu tungeshamaliza.cute b jamani we dada, basi tuvumilie tumekosa sisi tumekosa sana. Kwani leo umetokea wapi jamani
Haimuachi mtu salama!!!Ha ha ha mtu kapewa kupiga penat kapiga mpira namna hiyo msimu huu watapona kweli ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaaaaa ulivyomwitaaaa Mimi mbavu zangu hoii...Jamani shemeji yangu Kimariooo (in chaga's voice) sisi Man U hatutalia kamweeeee!!! Hahahha shemmm usimaind hapa twachangamsha tu jukwaaaa ila msimu huu future yenu ni ndogo sana ila usijali nitakuwa hapa kila wakati kukufariji.
Hat ukubwa una hatua zake.
TutawaonaJamani shemeji yangu Kimariooo (in chaga's voice) sisi Man U hatutalia kamweeeee!!! Hahahha shemmm usimaind hapa twachangamsha tu jukwaaaa ila msimu huu future yenu ni ndogo sana ila usijali nitakuwa hapa kila wakati kukufariji.