Nimekuja partner yaaaniiiiii nina hasira achaaaaaa yaani humu najitolea kuomboleza bureeeeeeeew!!!! Wapi kamati ya vinywaji ihakikishe wafiwa wetu wanapata chochote!!!!This msimu ni [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] .
Team itakayopoteza ni halali yetu.
Nilikumisss kinoumer kila siku nachungulia profile naona last seen ya muda mrefu nikasema itakuwaje huh msimu jamani
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha sijui kwa nini siwezi kuacha.Ha ha haaaa hujaacha tu
Hajajua kwamba sisi tupo hapa kuwafariji.Hhahhahaha utaelewa tu humu huwa tunaendajeeee!!!!
Shem darling jamaniiii!!! Khaaaaa!!! So kwa kukumiss huku!!! Tukutane kule kule angalia msiba huu usikufikeeKhaaas shem darling jamaniiii
Atakuwa amekwisha nyakuliwa .....kwenda wapi....Mbao FC.....
Hahaha haha hahaha wafiwa wana Hasira wamejifungia ndani wanachungulia tuu.Nimekuja partner yaaaniiiiii nina hasira achaaaaaa yaani humu najitolea kuomboleza bureeeeeeeew!!!! Wapi kamati ya vinywaji ihakikishe wafiwa wetu wanapata chochote!!!!
Mumy nilikuwa nasubiri kipindi cha kimbea kipite sipendi usajili mimi kila wakati presha tuuu!!!!
Haswaaaaa kama noma na iwe nomaaaaaaaaa!!!!!!Ha ha ha sijui kwa nini siwezi kuacha.
Nilijaribu nikashindwa..
Nikaamua kama noma na iwe noma...
Nikarudia sura yangu OG...
Sent using Jamii Forums mobile app
Parapandaa Italia parapandaaaaaaaaAtakuwa amekwisha nyakuliwa .....kwenda wapi....Mbao FC.....
Tuimbe parapandaaaaaaa!!!!
Hahahahaha kwakwelliiii!!!Hahaha haha hahaha wafiwa wana Hasira wamejifungia ndani wanachungulia tuu.
Tunywe vinywaji wenyewe mamy si wamezira,
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya bhana kutesa kwa zamu. Nitakujaga tu kumasha dude vipande vyenu kuleHhahahhahahha loooohhhhh!!!! Liamshe dudeeeeeeee nilikumiss sana this msimu ni mwendo wa kuliamsha dudeeee tuuuu!!!! nilikumiss sana mchizi wangu am not kidney hahahahaha!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora aisee uende kwenu, una sumbua sana mtaani kwenu. Watu tunatafakari kimya unapita na madebe yako.
Hahahahhaa usijali ukipata furahia ukikosa jutiaa, msimu huu nimetabiriwa sitakinywea tena kikombe cha hasira yake ni shangwe mwanzo mwisho kama nyie last season!!!Haya bhana kutesa kwa zamu. Nitakujaga tu kumasha dude vipande vyenu kule
Najua unaniombea njaa best, ila nipe hata pole za hapa na pale khaa!Hahahhaha nami nilikuwa najitahidi kumpa back up hahahhahahha bestttttttt ndo tumeanza kihiviiiii!!!!
Ha ha haaaa uhalisia utabaki kama ulivyo tuendelee kuvumiliana ili mradi salama pole sana kwa kujinyima kwa mudaHa ha ha sijui kwa nini siwezi kuacha.
Nilijaribu nikashindwa..
Nikaamua kama noma na iwe noma...
Nikarudia sura yangu OG...
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani pole nimetoa na vinywaji huu mmekataa!! Ila usijali ...Najua unaniombea njaa best, ila nipe hata pole za hapa na pale khaa!
Hii post inabidi niweke alama. Ha ha ha ha ha ha kwa kweli najutia na akina cute b ndo wanakuja na misumari ya moto tu. Anaongea huyoHahahahhaa usijali ukipata furahia ukikosa jutiaa, msimu huu nimetabiriwa sitakinywea tena kikombe cha hasira yake ni shangwe mwanzo mwisho kama nyie last season!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha kwakwelliiii!!!
Ngoja tuwafariji tuuuu!!!
Jamani msijali nyie wote wanalondon hakijapotea kitu !!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii jezi 9 ina mkosiJezi tena imefanya nini Mkuu..?
Wenzako hata hawaonekani kwa uzi..
Msimu huu mtalia na kusaga me no.