Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,055
- 27,460
Nyie mashabiki maandazi ndio mnaweza kupata stelles kwa mechi km hizi. Wenye uzoefu katika haya mambo unachukulia kawaida. We endelea kupambana kivyako tukutane kwenye ligiHahaha hahaha haaa a relux...
Najua inaumaaa, ila vumiliaaa..
Uuuuuuuuwiiiiiiii
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahhahahahhahah*BREAKING NEWS
Mpira uliopigwa na Courtoris umetua Tanzania na utatumika kwenye SIMBA DAY pamoja na mechi ya kwanza ya ufunguzi wa ligi kuu Tz.
Nyie mashabiki maandazi ndio mnaweza kupata stelles kwa mechi km hizi. Wenye uzoefu katika haya mambo unachukulia kawaida. We endelea kupambana kivyako tukutane kwenye ligi
Umepanic, mbona huu ni mpira tuu?Nyie mashabiki maandazi ndio mnaweza kupata stelles kwa mechi km hizi. Wenye uzoefu katika haya mambo unachukulia kawaida. We endelea kupambana kivyako tukutane kwenye ligi
Ha ha ha ha ha ha ha hahahahahOther goalkeepers when courtois is taking penalty
Kumbe wewe ni shabiki wa arsenal cute bUmepanic, mbona huu ni mpira tuu?
Asiyekubali kushindwa siyo mshindani.
Mechi kama hizi [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] wenzenu wana kombe nyie mna nini?
Sioni hata sababu ya kuita watu majina ya ajabu , kama una hasira basi kafunge goli lako [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] .
Haya byee usije ukanimeza bure
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe hili nalo kombe nilikuwa sijui mie.Umepanic, mbona huu ni mpira tuu?
Asiyekubali kushindwa siyo mshindani.
Mechi kama hizi [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] wenzenu wana kombe nyie mna nini?
Sioni hata sababu ya kuita watu majina ya ajabu , kama una hasira basi kafunge goli lako [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] .
Haya byee usije ukanimeza bure
Sent using Jamii Forums mobile app
Tusidanganyane bado tunahitaji mshambuliaji
Achana na habari za bakayoko na hazard
Tunahitaji mshambuliaji
Halafu morata abadilishiwe jezi ile ina mkosi ile jezi
Ukweli ni kwamba kikosi ni finyu sana na msimu huu mashindano ni mengi sana Chelsea inashiriki halafu sidhani kama Conte ni mzuri wa kimbinu hapo ndo timu inaposhindwa kotekote.Tusidanganyane bado tunahitaji mshambuliaji
Achana na habari za bakayoko na hazard
Tunahitaji mshambuliaji
Halafu morata abadilishiwe jezi ile ina mkosi ile jezi
Kweli aise ile jezi hata alivyoivaa Falcao aliambulia patupuTusidanganyane bado tunahitaji mshambuliaji
Achana na habari za bakayoko na hazard
Tunahitaji mshambuliaji
Halafu morata abadilishiwe jezi ile ina mkosi ile jezi
Taratibu akili zinawarudiaTusidanganyane bado tunahitaji mshambuliaji
Achana na habari za bakayoko na hazard
Tunahitaji mshambuliaji
Halafu morata abadilishiwe jezi ile ina mkosi ile jezi
Tusidanganyane bado tunahitaji mshambuliaji
Achana na habari za bakayoko na hazard
Tunahitaji mshambuliaji
Halafu morata abadilishiwe jezi ile ina mkosi ile jezi
Cute b... Usicheke sana basi mechi si imeishaa,Ha ha ha ha ha ha ha hahahahah
He he he he he he he he he
Hihihihihiiiiiiiiiiii
Sent using Jamii Forums mobile app