Mi ni shabiki wa chelsea ambae naamini morata atafunga mabao zaidi ya costa
Muda utaongea tu na tutakumbushana
Mi ni shabiki wa chelsea ambae naamini morata atafunga mabao zaidi ya costa
Muda utaongea tu na tutakumbushana
hapo kwa bakayokoBakayoko mbona humzungumzii?, mi naona Fabregas anaandaliwa kwa Champions League kwa uzoefu wake, kwenye ligi ya ndania hapo kati ni Kante na Bakayoko tu
GOALS:
LUKAKU ( 3 ) GOALS MAN U
LAKAZETE ( 2 )GOALS ARSENAL
SALAR ( 2 ) LIVERPOOL
MORATA ( 0 ) CHELSEA ...????
Mmeramba dume wenzetu poleni..[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
mkuu, upo sahihi na ume hit the target.
kwa kuongezea fabregas hawezi kukaba na kante nae hawezi piga pass za mwisho. so hapo matic anahitajika sana no matter what. kingine ni kumpata alex sandro na rudiger/christean wachukue nafasi ya cahili hata kama ni captain ila hana pace.
Katika vitu ambavyo Chelsea imepoteza in kumnunua morata,bora wange mchukua James wa Madrid kwa mkopo,morata hana ari ya kucheza,
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu si wanajua mtu yoyote akinyatiwa na morinho ni dili kwa hiyo wakaingia mkenge bila kujua kwamba morinho alikuwa anajua jinsi ya kumtumia morata ndo maana alikuwa anamfatilia afu hawa wanachukua chukua tu bila kujiuliza watamtumiaje baadaye ndo haya yanawatokea..??[emoji4] [emoji4] [emoji134] [emoji134]
Cahil hajawahi kunifanya nimuone ni beki wa kazi na mwenye umakini- Mkuu Pace ya Rudiger na ya Cahill..mimi nitamchagua Cahill! Hasa pia kwa kuwa Cahill ana passion na timu, ndiye anayebaki baada ya kina Terry. Pamoja na makosa yake, Cahill (kama D. Luiz) wanajituma, wanamheshimu kocha na hakuna kitu kinamfanya kocha akupende kama mtu anayefanya hayo. Rudiger ni mzuri na natamani with time aje kureplace nafasi ya Cahill ila sio haraka hivyo.
- Ila Rudiger pia ana-offer an attacking option tofauti na Cahill ambaye mpaka kona ndo anafunga. So let's wait and see.
Mh! Kweli mkuu? Only time will tell..tusianze kubishania nadharia.
Wewe nawe umezidi kuongea! Act your age, not your shoe size bro.
Endeleeni kufurahia match za kirafiki- Mkuu Pace ya Rudiger na ya Cahill..mimi nitamchagua Cahill! Hasa pia kwa kuwa Cahill ana passion na timu, ndiye anayebaki baada ya kina Terry. Pamoja na makosa yake, Cahill (kama D. Luiz) wanajituma, wanamheshimu kocha na hakuna kitu kinamfanya kocha akupende kama mtu anayefanya hayo. Rudiger ni mzuri na natamani with time aje kureplace nafasi ya Cahill ila sio haraka hivyo.
- Ila Rudiger pia ana-offer an attacking option tofauti na Cahill ambaye mpaka kona ndo anafunga. So let's wait and see.
Mh! Kweli mkuu? Only time will tell..tusianze kubishania nadharia.
Wewe nawe umezidi kuongea! Act your age, not your shoe size bro.
Mkuu usitumie hat nguvu nyingi kumjb, chiz huyo anajitoa ufahamu.ukimjb na ww utaonekana chizi, kwenye EPL timu itakayotusumbua ni man city peke yake!" na huyo Morata watamuelewa tu......... usibishane na mtu kwa haya mazoezi ya kupasha misuli subir ligi ianze watapoteana humu atabaki Malafyale tu mana hajuagi kujiongeza!! mpaka timu inabeba ubingwa yeye yupo tu anaamini miujiza itatokea.amesema anaangaika au unamlisha maneno?
[emoji23] [emoji23] Ugonjwa wa lukaku unawasumbua bado. League muda si mrefu inaanza watabaki anajaribiwaNdo maaana ya pre-season
Ndo majibu yenu saivi ila kipindi cha kwanza hamkuongea hivyo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Morata na Bashuayi ndiyo watakupa ubingwa?Mkuu usitumie hat nguvu nyingi kumjb, chiz huyo anajitoa ufahamu.ukimjb na ww utaonekana chizi, kwenye EPL timu itakayotusumbua ni man city peke yake!" na huyo Morata watamuelewa tu......... usibishane na mtu kwa haya mazoezi ya kupasha misuli subir ligi ianze watapoteana humu atabaki Malafyale tu mana hajuagi kujiongeza!! mpaka timu inabeba ubingwa yeye yupo tu anaamini miujiza itatokea.
We ubingwa utausikia tuMorata na Bashuayi ndiyo watakupa ubingwa?
Liverpool mabingwa wapya EPL
Man City hamna kitu
haha umerudi mkuu karibuMorata na Bashuayi ndiyo watakupa ubingwa?
Liverpool mabingwa wapya EPL
Man City hamna kitu
Tulivyowapa juan mata tulisoma namba au mliisoma nyinyi manfongoNaona mmetupa kisiki, msimu ujao mtaisoma namba!!
Manfongo ni akina nani? sisi ni Mnchester United. Siwezi waongelea manfongo maana siwajui, unless ungeongekua unaongelea man united!!Tulivyowapa juan mata tulisoma namba au mliisoma nyinyi manfongo
ndio loserpool mabingwa wa Epl asia lakini sio hapo bibi elizabetiMorata na Bashuayi ndiyo watakupa ubingwa?
Liverpool mabingwa wapya EPL
Man City hamna kitu