Mkuu hayo mengi labda moja huyu bench warmer atafikishaje hayo magoli mbona unampa masifa yasiyostahili kwa sasa hata goli halijui lilipo afu unampa hayo magoli kweli..???
Ulishawahi kumuona kapiga hata on target hata moja...??
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Hata goli la pili la jovetic lilikataliwa.Kondogbia kapiga bonge la goli mpaka mtangazaji anasema hajawahi kuona bao la namna hiyo. Ila kipindi cha pili mmecheza vizuri sana na pia mshika kibendera kakataa goli lenu mwisho ndio mpira huo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Duuh kumbe hata matatu nayo mengi...!!! Jukwaa la watu hili ujue sasa wakitoka huko walipoenda kulilia, hasira watakuja zimalizia kwako
Hahaa morinho yukoje mkuuHawa inter wana technique za kimourinho maana unaweza cheza nao dakika 90 usipate shoot on target!
Mourinho anajua mpira, unaweza mchukia ila huwa anaweza kukufanya ukajiona falaaa! Ndio maana niliumia sana kitu walichomfanyia pale Chelsea. Hawa maniga wa inter nao wanatumia falsafa zile zile wanacheza wanakuacha ucheze ila wanakukaba hata goli hutaliona! Unakumbuka mechi ya Chelsea vs Man U? Walimaliza mpira bila shoot on target!
Ana historia hiyo ya kukwamisha nyavuni pake seville na nadhani ni Monaco pia alifanya mambo haya ila hapa afadhali sio penye ligi ya kukamatana mashatiYule jamaa sikuelewa lengo lake lilikuwa nini [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
We morata utakuja kumpenda tuChelsea wangenunua mchezaji anayeweza kujuposisheni kama Zlatan bora wangeachana na Morata
Ndo maaana ya pre-seasonWe morata utakuja kumpenda tu
Halafu leo alicheza kama winga
Hii yote ni majaribio ndio maana ya pree season
Kuna siku nilizungumzia suala la morata asipojiangalia atajikuta mara nyingi anakua bench kwa majeruhi lakini kuna shabiki humu aliniponda sana. Nadhani pole pole ataona tu na huyo morata wakimchezesha kama namba 9 timu itakua na uhaba wa magoli mpaka watajuta nadhani ata kocha wao analiona hilo ndio maana anajaribu kucheza kamali ya kuona kama anaweza cheza akitokea pembeniConte says Morata has to improve his physical condition to fit with his idea of football, but the player is working well. [HASHTAG]#CFCTour[/HASHTAG]
Mkuu hata huko pembeni alipocheza leo bado hajafit jamaa mlaini sana leo kakanyagwa kidogo kaanza kulaumu.Kuna siku nilizungumzia suala la morata asipojiangalia atajikuta mara nyingi anakua bench kwa majeruhi lakini kuna shabiki humu aliniponda sana. Nadhani pole pole ataona tu na huyo morata wakimchezesha kama namba 9 timu itakua na uhaba wa magoli mpaka watajuta nadhani ata kocha wao analiona hilo ndio maana anajaribu kucheza kamali ya kuona kama anaweza cheza akitokea pembeni
Today
Chelsea wanapaswa kufahamu kuwa Morata wamemnunua kama backup tu wanatakiwa kuwa na striker wa kuaminika then morata awe booster tuMkuu hata huko pembeni alipocheza leo bado hajafit jamaa mlaini sana leo kakanyagwa kidogo kaanza kulaumu.
[emoji23] [emoji23] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Mkuu malengo ya chelsea ni kuwa morata ndo alikuwa target striker wa kuaminika ila saivi imekuwa kinyume bado naona anajaribiwa tu kila nafasi ili aweze kufit na watamkumbuka sana costa na conte najua analijua hilo basi tu.Chelsea wanapaswa kufahamu kuwa Morata wamemnunua kama backup tu wanatakiwa kuwa na striker wa kuaminika then morata awe booster tu
Today
Kuna siku nilizungumzia suala la morata asipojiangalia atajikuta mara nyingi anakua bench kwa majeruhi lakini kuna shabiki humu aliniponda sana. Nadhani pole pole ataona tu na huyo morata wakimchezesha kama namba 9 timu itakua na uhaba wa magoli mpaka watajuta nadhani ata kocha wao analiona hilo ndio maana anajaribu kucheza kamali ya kuona kama anaweza cheza akitokea pembeni
Today
Binafsi mpaka ligi ianze ndo naweza kusema kitu kuhusu Morata kwa vile bado mapemaKumuacha Costa ni kosa kubwa linalofa ywa na Chelsea.