Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Pogba bora zaidi ya Kante sababu anakaba anasambaza mipira na kufunga wakati Kante yeye ni kukaba tu
kwani alilowafunga man u sio gori lile au unaliitaje mwenzetu???

I BLNG 2 JESUS CHRST
 
hata mimi sishangai.. ndo maana Pogba alishinda awards za PFA player of the year na Football Writers' Association (FWA) 2017.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umeuwaaa

I BLNG 2 JESUS CHRST
 
Conte amesema hakumuweka nje bure Matic kwani naye aliomba kuondoka mapema tu hata kabla hata ligi haijaisha

Asisitiza hazard hauzwi na ana furaha stanford bridge
 
Chelsea XI v Inter

Courtois, Azpilicueta, David Luiz, Cahill, Moses, Kante, Fabregas, Alonso, Willian, Batshuayi, Morata

Chelsea Subs v Inter
Caballero, Eduardo, Bulka, Rudiger, Christensen, Tomori, Salter, Cuevas, Scott, Baker, Pasalic, Musonda, Boga, Remy
 
GOALS

Lukaku 2
Lacazete 1
Morata ...????[emoji15] [emoji134] [emoji134][emoji23] [emoji23]
How many minutes they play?

Lukaku 4 matches 2 goals 240 + 12 minutes played. If I'm not mistaken

Lacazete 3 matches 1 goal. 240 +9 minutes played. If I'm not mistaken

Morata 1 match 1 assist. 27 +3 minutes played

Mwenye macho na akili ambiwi tazama. Mkuu usitokwe na ufahamu msimu haujaanza subiri August
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…