Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Subirieni tukutane na nyie ndo mtajua lukaku ni nani[emoji123][emoji123][emoji123]
 
hapa tuna mtu, huyo ola aina akajifunze kwanza soka, atleast huyu namuona anaweza kumpa shida moses kwenye ushindani wa namba, sema defensive game yake bado sijaiona vya kutosha ila atleast this boy

sent from my jamii forums app iphone 7+
 
Ni kweli kabisa usema kaka, ila kwa upande wangu nadhani haitachukua muda sana Rudiger kuelewana na Luiz na Azpilicueta au Cahil maana amezoea kucheza kwenye mfumo wa back three, akiwa Roma na Germany
 
Mkuu Ntuzu kwa kweli kwa kiwango cha Willian cha pre-season tusishangae kumuona anaanza game nyingi kuliko Pedro. Msimu uliopita alipitia mengi sana kwa mfano kufiwa na mama ake. Nadhani ilikiwa kigezo cha yeye kutofanya vizuri sana
 
Subirieni tukutane na nyie ndo mtajua lukaku ni nani[emoji123][emoji123][emoji123]
Ha ha ha ha ha ha ha ha Cheka kwa dharau. Unakumbuka alivyokuwa Everton aliifunga magoli mangapi Chelsea? Kwanza magoli mengi alipiga 'on target' ngapi?

Luiz anamjua vizuri sana bhana, acha maneno weka muziki
 
Naona mnawaongelea Boga na Tomori who are really good. But I would say Lewis Baker is THE BEST kwa vijana waliodevelop through loans. Kwa waliomuona game yake wanaweza kusema pia
Ni kweli baker yuko vizuri na ninaweza kusema ana quality kuliko wenzake wengi ila bado haja settle kwenye formation kama boga anavyotishia amani na mwenzake tomori ndo maana wamemake headlines mkuu

sent from my jamii forums app iphone 7+
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…