I gues you are below 19!Hhahaa kweli jmn hata kama mm ni Chelsea ila inaniuma kila cku Chelsea tunabadili maneno yani kama tunawaogopa....
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya mkuu ngoja tuone kama huyo morata wenu atafunga kwenye hiyo preseason[emoji4] [emoji4] [emoji4]magoli kwenye pre sessoan wanafunga had mabeki sembuse lukaku
I BLNG 2 JESUS CHRST
sawa nimekuelewa maana hata darasani shule unaonekana ulifeliAlimkataa kmtatua linda [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
wewe ni chelsea ya misri au????.....mimi kama mwenyekiti wa mashabiki wa chelsea ya EPL Sikutambui na wala hatuhitaji mashabiki kama weweHhahaa kweli jmn hata kama mm ni Chelsea ila inaniuma kila cku Chelsea tunabadili maneno yani kama tunawaogopa....
Sent using Jamii Forums mobile app
dunia kuna wachawi wa aina mbili wanaologa na kuua na wasiopenda maendeleo afu mara nyingi wao hubakia maskini wa kutupwa huku wanao waombea wasiendelea huwa wanakuwa matajiri kupita kiasi....jichagulie wewe ni mchawi wa aina gani????? sitaki useme nimekutukana...Haya mkuu ngoja tuone kama huyo morata wenu atafunga kwenye hiyo preseason[emoji4] [emoji4] [emoji4]
Kikosi changu cha msimu ujao
Courtouis
Aspiliqueta, luiz, rudiger
Kante, bakayoko, Moses, fabrigas, or alonso
Petro, au wilian, morata, hazard
Nyumba ya Chelsea mwendawazimu kaingiaje?Nawaza tu.[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Haya mkuu ngoja tuone kama huyo morata wenu atafunga kwenye hiyo preseason[emoji4] [emoji4] [emoji4]
Kwa hili la morata sasa conte anapata usingiz mzuri
AmejawA na tabasamu tele
Cahili Hawezi wekwa nje, sababu ya Uingereza wake maana hiyo timu uliyotaja haina mwingereza hata mmoja,
Hapo mimi naona Luis ndio atakayekuwa anagombea namba na Rudiger
Ninachoamini mimi ni kiwango cha rudiger kitamweka mtu benchi na cahili au luiz litamkuta mmoja waoHapo nyuma Conte hawezi kupavuruga ata kidogo.
Azipilicueta + David Luiz + Cahill.
Hawa ni wachezaji ambao Conte hatowavuruga kabisa.
Rudiga ataanzia benchi tu.