Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kununua mchezaji kwa pound 100 mil ni ushamba
Na ronaldo tumnunue kwa pesa ngapi kama hao average players wasiofikisha magoli 25 kwa msimu wanauzwa pesa hiyo
 

Utamtambua mtu kwa msg ya Group?, haya Magroup huwa yanahusisha pia wapinzani wetu
 
Utamtambua mtu kwa msg ya Group?, haya Magroup huwa yanahusisha pia wapinzani wetu
Hii ni kufahamiana na kuyajenga. Mim ciwez enda grouo la man u hata iweje. Ukiona mtu anakuambia ni arsenal alaf akaja event ya chelsea ujue kua anaikubal kiaina

Jay
 
Hii ni kufahamiana na kuyajenga. Mim ciwez enda grouo la man u hata iweje. Ukiona mtu anakuambia ni arsenal alaf akaja event ya chelsea ujue kua anaikubal kiaina

Jay

Hapana kaka, mambo ya soka ndio yalivyo, labda wewe ni mgeni wa uzi huu, humu tunakuwaga na watu wengi sana ambao sio Chelsea, kama Wacha , BAK , mwanafyale nk huwa wanakuja kututania na sisi tunaingia kwenye thread zao za Arsenal, MancheSITA, na LiverPool kuwatania, so ata magropu ya Watsapp ni same
 
Hivyo ndivyo inatakiwa iwe Mkuu na inapendeza na kuleta raha sana dhidi ya mashabiki mbali mbali humu.

 
Nafahamu vizuri. Ila ukiitisha mkutano wa chelsea wakaja man u bas ujue uyo ana tatizo

Jay
 
MMOJA KATI YA HAWA LAZIMA AM REPLACE DIEGO COSTA...!!


Alvaro Morata (Real Madrid),





Pierre-Emerick Aubameyang (Borussia Dortmund),




Andrea Belotti (Torino)





Sergio Aguero. (manchester city)






Vote Now.......
hapo mzee baba KUN .......
 
BREAKING NEWS

Chelsea have confirmed head coach Antonio Conte has signed a new two-year contract.

The Italian, who won the Premier League title in his debut season at the club, had been linked with a return to Serie A with Inter Milan.

However, We have had confirmation from Chelsea that Antonio Conte's two-year contract is not an extension.

The Italian already had two years remaining on his previous Chelsea contract.

The new deal announced this evening instead improves the terms of his existing contract, a reward for winning the Premier League title last season.

Conte said: “I am very happy to have signed a new contract with Chelsea. We worked extremely hard in our first year to achieve something amazing, which I am very proud of. Now we must work even harder to stay at the top.

“The Chelsea fans have given me so much support since I arrived here one year ago and it is important we continue to succeed together.”
 
Hyu conte akampgie magoti ss costa mana hakna striker tutakae msajil saiv wa maana nae atatukanaje mamba kabla hajavuka mto ilitakiwa amwambir costa kua hamhiymtaji akiwa amepata mchezaji mwngne
Daaa UEFA na striker batshuayi daaa naona conte kfukuzwa kunanukia
 
Yupo na remy

Gogle
 
Safi bado tunamwitaji
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…