Ndio mpira umeshafika huko kama unataka kushindana lazima uendane na mabadiliko na unavyozidi kuchelewa bei inazidi kuongezeka,umesahau kuwa Chelsea walimuuza Luiz £50m,Oscar £60m na Costa alitaka kununuliwa kwa £70m January Tangu Mourinho alivyorudi Chelsea iliingiza hela nyingi sana kuuza wachezaji.Wachezaji wanaotakiwa na Chelsea Rudiger,Bakayoko hawafiki hata £40m lakini mpaka leo hajasajiliwa hata mmoja,nakukumbusha Conte aliondoka Juve baada ya kuona wachezaji anaowataka hawasajiliwi
Chelsea wamefanya kosa kubwa sana kumtimua Costa sidhani kama mtapata striker anayemfikia
Yaani, hakuna kitu kilichonifurahisha na kunipa amani ndani ya Chelsea kama kutimuliwa kwa Costa
Sidhani kama conte chaguo lake ni lukakuNiliwaambia last month uongozi wa Chelsea uko slow sana kwenye issue za usajili wa wachezaji,Chelsea wangeweza kumsajili Lukaku tangu ligi imeisha,kumbuka Conte alishasema hamtaki Costa so management ilipaswa kuweka kipaumbele usajili wa Lukaku
Niliwaambia last month uongozi wa Chelsea uko slow sana kwenye issue za usajili wa wachezaji,Chelsea wangeweza kumsajili Lukaku tangu ligi imeisha,kumbuka Conte alishasema hamtaki Costa so management ilipaswa kuweka kipaumbele usajili wa Lukaku
Mpira ni mfumo tu, Unaweza cheza style isiyohitaji namba tisa na ukafunga na kuchukua ubingwa, timu kama Barca au R.Madrid hazina natural no 9, lakini Ronaldo na Mesi ni wafungaji wazuri tukufukuza ni rahisi kupata striker no .9 ni inshu
Chaguo la Conte ni lipi,na kwa nini hadi leo Chelsea hawajasajili mchezaji hata mmoja ? Last month mlikuwa mnasema wanasubiri July 1 baada ya kutambulisha jezi mpyaSidhani kama conte chaguo lake ni lukaku
Unajua mfumo wa Conte ? Au mtamfukuza aje Guardiola kuwaleta mfumo wa kucheza bila strikerMpira ni mfumo tu, Unaweza cheza style isiyohitaji namba tisa na ukafunga na kuchukua ubingwa, timu kama Barca au R.Madrid hazina natural no 9, lakini Ronaldo na Mesi ni wafungaji wazuri tu
Unajua mfumo wa Conte ? Au mtamfukuza aje Guardiola kuwaleta mfumo wa kucheza bila striker
Messi & Ronaldo wanaweza kufunga goli 60 kwa msimu Hazard tangu ametua Chelsea hajawahi kufunga hata goli 20 kwa msimu .
Hakuna mchezaji mwenye ratio nzuri ya goals/games kwenye EPL kuliko Costa hapo Chelsea,mechi 89 magoli 52Yaani, hakuna kitu kilichonifurahisha na kunipa amani ndani ya Chelsea kama kutimuliwa kwa Costa
Hakuna mchezaji mwenye ratio nzuri ya goals/games kwenye EPL kuliko Costa hapo Chelsea,mechi 89 magoli 52
Sidhani kama unamfahamu Conte,makocha wanaocheza mfumo wa bila striker wanajulikana Conte sio mmoja wake.Mifumo ya Conte ni 3-5-2 (huu ndio aliutumia Juventus) na 3-4-3/3-4-2-1 alivyokuja England alijaribu 4-1-4-1 baada ya kufungwa aka-switch to 3-4-3Usikariri kaka, Conte hana mfumo mmoja, na ndio maana alipoanza Chelsea hakuwa na mfumo huu wa 3-4-3, na ameshasema anataka kubadili mfumo na hiyo yote inatokana na michezo ambayo Chelsea itakuwa nayo Season inayokuja, CS, EPL, FA, League na UEFA, so inawezekana kabisa Timu kucheza bila ya natural number 9
Huko nyuma mlisema Hazard,Fabregas,JT walimhujumu Mourinho mbona hawakuuzwa ?Kwani ameondolewa kuwa hafungi?, hata mimi ningekuwa kocha ningempiga chini tu, kile kitendo cha kuihujumu timu kwenye wakati mgumu kiasi kile, mara anaumwa mara wachina, pale nilimwona hana maana hata kidogo
Sidhani kama unamfahamu Conte,makocha wanaocheza mfumo wa bila striker wanajulikana Conte sio mmoja wake.Mifumo ya Conte ni 3-5-2 (huu ndio aliutumia Juventus) na 3-4-3/3-4-2-1 alivyokuja England alijaribu 4-1-4-1 baada ya kufungwa aka-switch to 3-4-3
Huko nyuma mlisema Hazard,Fabregas,JT walimhujumu Mourinho mbona hawakuuzwa ?
Unajua mfumo wa Conte ? Au mtamfukuza aje Guardiola kuwaleta mfumo wa kucheza bila striker
Messi & Ronaldo wanaweza kufunga goli 60 kwa msimu Hazard tangu ametua Chelsea hajawahi kufunga hata goli 20 kwa msimu .
Mpira ni mfumo tu, Unaweza cheza style isiyohitaji namba tisa na ukafunga na kuchukua ubingwa, timu kama Barca au R.Madrid hazina natural no 9, lakini Ronaldo na Mesi ni wafungaji wazuri tu
Naona mnajidanganya belloti hawezi kuja chelsea[emoji4]Lukaku lukaku..... Aende zake, tunae michy batshuayi na belotti anatakuja tuu mm sina wasiwasi
Cha msingi atleast wachezaji wa 3 wasajiliwe
Kuna mgogoro unaendelea kati ya emenalo na conteChaguo la Conte ni lipi,na kwa nini hadi leo Chelsea hawajasajili mchezaji hata mmoja ? Last month mlikuwa mnasema wanasubiri July 1 baada ya kutambulisha jezi mpya
Kwa nini asije wakati anauzwa pauni milioni 80 kwa mujibu wa torinoNaona mnajidanganya belloti hawezi kuja chelsea[emoji4]