Kunguru Mjanja
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 2,047
- 3,980
- Thread starter
-
- #39,501
JUVE CONFIRM SANDRO BIDSANDRO RECAP
Juventus claim they have rejected a bid from Chelsea for left-back Alex Sandro.
The Brazil international joined the Italian champions in 2015 and has been a regular member of a team that's won consecutive Serie A titles. Juve insist they won't sell any of their best players.
Kabisa, lukaku alifeli kipindi cha morinhotupo pa1 mkuu, yaani Lukaku mi naona ni mzigo!" bora wampe Batshuay nafasi kuliko kutoa hela nyiiiiing kw lukaku
Sorry bro, M.Emenalo unamtetea bure tu.. Anatufelisha sana kwenye usajilimnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni, tunaweza kuwa tunamlaumu emenalo lakini bila kujua hao wachezaji walikataliwa na vilabu vyao kuuzwa na kibaya zaidi chelsea ilikuwa haishiriki uefa hivyo kuwashawishi wachezaji wa calibre uliowataja kuja chelsea bila uefa ilikuwa ni ngumu.
Nakumbuka wakati tunamchukua hazard nadhani ni msimu wa 2012/2013 kuna timu nyingi zilikuwa zinamuwania aliulizwa ni nini kilichokuvutia kwenda chelsea alisema amependa kwenda timu iliyobingwa mtetezi wa uefa, kumbe kubeba ubingwa wa uefa uliisaidia chelsea kumpata hazard. Kutokana na hilo unaona kwamba wachezaji walio wengi wa ulaya wenye uwezo mkubwa wanapenda sana timu inayoshiriki uefa kuliko isioshiriki kama ukitaka kuwasajili.
Mou ndo sababu ya lukaku kufeli...Kabisa, lukaku alifeli kipindi cha morinho
Mkuu,Mimi nachoshwa na bodi ya viongozi wa ngazi za juu wa klabu yetu.
Kila siku tetesi tu hakuna kufanya kweli maana yake nini sasa?
mnatunyanganya au tunawapatieni?Mkuu,
Manaake ni kwamba Msimu ujao mtakuwa katika wakati mgumu..
Saizi tupo tunawanyanganya Mr.Matic
Mkuu,mnatunyanganya au tunawapatieni?
Muda bado uko wa kutosha cha msingi pesa ipoMimi nachoshwa na bodi ya viongozi wa ngazi za juu wa klabu yetu.
Kila siku tetesi tu hakuna kufanya kweli maana yake nini sasa?
hatuwezi kuwapatia maadui zetu silahaMkuu,
Kwa hiyo mnatupatia...?
Lakini naona tunawatolea macho viungo wengi-Fabinho,Eric dier na renato sachens .Hivyo twaweza kuwaichia mufe naye.