Roman Empire
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 619
- 1,425
In my view tunahitaji mtu mwingine kwa nafasi ya Mitchy Batshuayi....na mtu huyo awe mmoja kati ya Tammy Abraham au Betrand Traore! Hawa madogo watasaidia kwenye FA, EFL, na ligi mara moja moja.
LA SIVYO..tuachane na habari ya kutafuta Striker..kama Costa ataondoka kweli basi tumchukue Sanchez..tucheze kama Spain na hao madogo warudishwe kikosini. Msimu ujao tutakuwa na mechi nyingi za kutosha.
Pale kati kwa Matic kwa kuwa tushampata Makelele hatuhitaji saana kuwa na Matic...tunahitaji mtu wa calibre ya Fabregas.
Defence...Cahill!!!! Sio mbaya ila...
Upo sawa ila morata anaweza kubadilika kuliko lukaku nimemwona akiwa juventus nafikiri ni bora kuliko huyo lukakuupo sahihi mkuu Lukaku hamna kitu mule" ila hata huyo Morata pia tunaingia cha kike, ni laini sana!" pia naona kama hajui kuhold mipira .........sidhani km ni chaguo sahihi.
Nakubaliana na wewe ila sokoni hakuna striker wa bei rahisi kwa sasa wote ni kuanzia pauni milioni 40 na kuendeleaKosa watalofanya chelsea ni kusajili wafungaji kwa majina tena kwa hela nyingi.
Waangalie wachezaji wote walionunuliwa kwa hela nyingi walipofika pale wamekufa kibudu
Huyu dogo ni nchi moja na akina Hazard (Belgium). Alikuja Chelsea akitokea Anderletch ya nchini kwao. Ana machachari fulani ya Hazard sema sasa namba naona itakuwa ngumu kupata.Hivi huyu charly Musonda jr ametokea wapi na ni raia wa nchi gani
Nimeona vidio zake dogo anaujua mpira bana si mchezoHuyu dogo ni nchi moja na akina Hazard (Belgium). Alikuja Chelsea akitokea Anderletch ya nchini kwao. Ana machachari fulani ya Hazard sema sasa namba naona itakuwa ngumu kupata.
Mkuu katika hao uliosema kwa mimi naona ambao wameiva na wanatakiwa kurudi kundini ili waanze kuzoea ni Andre Chritiasen, na Traore kama back up striker, waungane na wenzao Chalobah na Ake. Ila pia beki mwingine wa maana naona nahitajika bado. Tammy apelekwe kwanza timu iliyopanda daraja kwa mkopo ili azoee ligi kwanza.Tamy washasema anasainishwa mkataba mnono kumuepusha na tamaa za kwenda timu nyingine lakini wamesema watampima kwenye PL kwa mkopo..... Traore Naona arudi tu apewe Namba dogo yupo kasi Sana..... Kuhusu andre chrstiasen nayeye angerudi ameshaiva,,, kuna Lewis beker nayeye mzuri sana, wachezaji watakao cheza play off champion ship ni Izzy brown hudesfield, Lucas piazon na Kalas fullham wote wapo vizuri
Anaujua mpira haswaaa. Alikuwa Real Betis kwa mkopo ila kwa sasa amerudi Chelsea. Huyu anatakiwa atafutiwe timu haraka sana ili acheze muda mwingi kwa sasa hawezi kuingia first eleven nafasi yake kuna watu wengi sana. Tusipoangalia huyu atakuja kuishia kama akina Gael Kakuta.Nimeona vidio zake dogo anaujua mpira bana si mchezo
Mkuu unajua si lazima kuwa na striker ila ni vizuri kama ukiwa nae kama target man pale mbele, endapo tu mtaamua labda kubadili mfumo kidogo. Kwa upande wa Costa kweli ni bonge la striker ila inabidi aachanena habari za mafujo na aangalie mpira wake na kufunga tu.Duh kweli wakuu mmemchoka Costa...ila Costa mbona ana improve kidogo kidogo!
Costa akiacha mahasira yake ni bonge la striker...the more wanafanya mazoezi, the more cohesion yake na patners wake inakuwa nzuri.
In my view tunahitaji mtu mwingine kwa nafasi ya Mitchy Batshuayi....na mtu huyo awe mmoja kati ya Tammy Abraham au Betrand Traore! Hawa madogo watasaidia kwenye FA, EFL, na ligi mara moja moja.
LA SIVYO..tuachane na habari ya kutafuta Striker..kama Costa ataondoka kweli basi tumchukue Sanchez..tucheze kama Spain na hao madogo warudishwe kikosini. Msimu ujao tutakuwa na mechi nyingi za kutosha.
Pale kati kwa Matic kwa kuwa tushampata Makelele hatuhitaji saana kuwa na Matic...tunahitaji mtu wa calibre ya Fabregas.
Defence...Cahill!!!! Sio mbaya ila...
Goli la Emre Can, Looserfools Vs Watford mi ndio naona lipo vizuri ..........Chelsea winger Pedro has won the April Goal of the Month award for his rasping drive to open the scoring against Everton in the Premier League encounter.
The sumptuous opening strike against Everton beat off competition from Dele Alli (Spurs v Watford), Roberto Firmino (Stoke City v Liverpool), Xherdan Shaqiri (Stoke City v Hull City) and Leroy Sane (Southampton v Man City).
View attachment 507969
Goli la Emre Can, Looserfools Vs Watford mi ndio naona lipo vizuri ..........