Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Duuuh mkuu kweli hutupendi aiseee....ila sisi twaona tufanye kazi zetu wnyewe, hapa twamuwaza Boro kwanza. Siku tunacheza na WBA vijana watakuwa na hali ngumu kwa Man UTD.

hamna ugumu hapo wala nini,hao viwete hawawezi msimamisha spars, game rahisi sanaa kw spars .......... cha msingi ni kumchapa tu kila anaekatisha kwenye imaya yetu.
 
Aaahhh mkuu CF4 habari nyengine huwa nikimwangalia na enjoy yaan
 
hamna ugumu hapo wala nini,hao viwete hawawezi msimamisha spars, game rahisi sanaa kw spars .......... cha msingi ni kumchapa tu kila anaekatisha kwenye imaya yetu.
Hili ndo jambo la msingi ukimtegemea mwingine inaweza ikala kwako.
 
hamna ugumu hapo wala nini,hao viwete hawawezi msimamisha spars, game rahisi sanaa kw spars .......... cha msingi ni kumchapa tu kila anaekatisha kwenye imaya yetu.
Ugumu umepatikakana sasa.
 
Mechi Tatu tu ila inabidi tuweke rekodi ya point nyingi yaani 97 kwa msimu
Mechi 4 point 16


Potelea pote natamani hizo mechi mbili za mwisho Terry, Chalobah, Zouma, Ake, Ruben Loftus Cheek, Ola Aina na Begovic waanze!

Yaani kikosi kiwe (mechi ya 37 na 38):

Begovic; Ake (Ola Aina), Terry, Zouma; Kenedy, Kante, Fabregas, Chalobah; R L Cheek, Batshuayi, Willian.
 
Mi huwa siwashangai spurs ndivyo walivyo hata msimu uliopita baada ya kuweka presha kubwa kwa Leicester ,waliishia tu kwenye namba tatu. Hapa tukishinda mechi ya midl basi ya westbrom ni ya kutangazwa champions kwani tutacheza siku mbili kabla ya wao kucheza na man.
 
Spurs hata afanyaje hawez kwanza anakufa kwa man u then kwa leicetar
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…