OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,961
- 25,325
Mkuu mi nakwambia, huna uwezo wa kumpiga celta Vigo wewee ...mapema sanaa gemu itaisha 3-1 ...halafu wakija otii wanawalazimisha droo. ..bisha sasaa!hahaha
acha hizo wewe
bingwa mtarajiwa wa Europa
hamna kitu hapo, alhamisi hatufungwiMkuu mi nakwambia, huna uwezo wa kumpiga celta Vigo wewee ...mapema sanaa gemu itaisha 3-1 ...halafu wakija otii wanawalazimisha droo. ..bisha sasaa!
True, the Unsung Hero. CA28An unsung HERO..>CESAR AZPILICUETA
CF4 sijui kwanini... Ila jamaa anajua sana kuweka mpira sehemu ambayo ni rahisi na mshambuliaji anaweza Fanya maajabu.. Miguu yake ina macho.Chelsea have 5 players with 5+ league assists this season:
C. Fabregas (9)
Pedro (8)
N. Matic (7)
D. Costa (6)
E. Hazard (5)
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Duuuh mkuu kweli hutupendi aiseee....ila sisi twaona tufanye kazi zetu wnyewe, hapa twamuwaza Boro kwanza. Siku tunacheza na WBA vijana watakuwa na hali ngumu kwa Man UTD.Lukaku hizi habari kama Conte anamtaka 2017/18 ndiyo zimemuathiri!
Ubingwa bado mbichi sana huu
Yyt anaweza chukua ingawa sasa Totenham wana slim hope
Let go WBA~
ndiyo leo umeonekana toka jana nasubiri utabiri wakoLukaku hizi habari kama Conte anamtaka 2017/18 ndiyo zimemuathiri!
Ubingwa bado mbichi sana huu
Yyt anaweza chukua ingawa sasa Totenham wana slim hope
Let go WBA~
Siku hizi Matic akipasiwa mpira nje ya 18...watu wanamkimbilia haraka sana maana lile Shuti na Tot limemfanya kuogopewa sana[emoji109]