fablo can
JF-Expert Member
- May 25, 2016
- 1,222
- 1,267
Hapana ni King kafunga goli la uhakikaBao la Bournemouth lilifungwa dakika ya 42 kwa pande la shoka la Benik Afobe
Hapana ni King kafunga goli la uhakikaBao la Bournemouth lilifungwa dakika ya 42 kwa pande la shoka la Benik Afobe
alonso ametucost lile goli limetoka kwake,halafu naona anashindwa kumiliki mpiraHii ndio nilikuwa nasema sasa, tumepata magoli mawili tukawa kama tumeridhika. Ila sio mbaya tusubiri kipindi cha pili tu
Bado kibarua lakini Chelsea ili mradi asifungwe hata doroo haina ubayaHii ndio nilikuwa nasema sasa, tumepata magoli mawili tukawa kama tumeridhika. Ila sio mbaya tusubiri kipindi cha pili tu
vijana watakaza tu muhimu 3pointsHii mechi bado sanaaaaa
Niliongelea aliyempasia siye aliyefunga!Hapana ni King kafunga goli la uhakika
droo itawapa nguvu hawa toten maana wako kimyakimya kama wanamfukuza mwiziBado kibarua lakini Chelsea ili mradi asifungwe hata doroo haina ubaya
Spurs wataishia hiyo hiyo nambari mbilidroo itawapa nguvu hawa toten maana wako kimyakimya kama wanamfukuza mwizi