Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Poleni ndugu zangu kalou, Ntuzu na wengine. Mkizoea mema na mabaya pia myazoee. Referee alijaribu kuwabeba lakini kazi ikaea ngumu kwa upande eenu. DK 100 kachezesha mpira. Spurs wamepunguza gap la point 3 na next fixture yenu ni pale darajani against City..

Poleni sana.
 
Comment siku Chelsea ikiwa ya 2 kwenye msimamo wa ligi
[HASHTAG]#KTBFFH[/HASHTAG]
2017 Epl champions
 
Gutted, siku ambayo sijaangalia mechi ndo tumefungwa!

Anyway still top of the league.
 
Hawa wanautani na ubingwa[emoji28][emoji28][emoji28] spurs huyo hapo nyumaa... na next fixture mko na City then Man u[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Niwape hongera kuendelea kuichagua Chelsea na ukitaka kuiona Chelsea karibu katika gemu ya city na man u hapo ndipo watu watasema hawa hakika ni mabingwa.
 
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji40] [emoji40]
 
'We dominated the game against a very strong team with really good players. It’s a pity but it wasn’t our day.’ - Antonio Conte
 
Jamani hapa mnaendeleaje?
Majogoo yanachukua EPL
Jumatano yanabakiza points 7 Jumatano
Man City anakupiga!
 
Shukrani mkuuu... the blues
 
Bado masaa manne tu
Chelsea amshinde Liverpool points 7!
Week ijayo zitapungua hadi points 4 sababu Chelsea huyu kaisha choka hawezi mfunga Everton
Mtacheka lkn mtakuja nikumbuka siku MAJOGOO yanapewa kombe lao
Chelsea imedorora muda mbaya sana kwenye ligi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…