Hapo ndo penyewe "pedro & matic" ndani, nilikuwa nafatilia page ya chelsea "chelsea news now"-naona matic anakamatia dimba la chini huku pedro akiungana nahazard & costa.Yaan hapo kuna bonge la utata kati ya Pedro na Willian.
Je, unaonaje kama Matic na Pedro wakaanza na Fab akaanza nyuma ya Hazard na Costa?
Unaweza ukashanga hata leo Costa akaanzia benchi na huko mbele kukawa naYeah, na naona odds za kuanza pedro ni nyingi, hata conte kaliongelea kuwa kuna wachezaji wawili ambao hawakucheza kwenye game ya stoke city(matic & pedro) leo watacheza. Ila sema nae anabadilishaga kikosi mda tu baada ya kuanza game, kama unakumbuka ile game costa ana 5th yellow card, wote tukajua its a chance to batshuay, matokeo yake akawachezesha "pedro+hazard+willian".
Pouwa pouwa mkuu...Mkuu izi nondo zako zishushe kwa kutembelea Sports analysis 'box to box '
Mkuu zarau/dharau zilizidi sana msimu uliopita, so lazima tuoneshe UMWAMBA kuwa sisi ndio BABA LAO.Ujue na nyue chelsea ifike mahali mkubali kufungwa sasa maana mmezidi
Leo hebu muwaachie tot
HahahahaMkuu zarau/dharau zilizidi sana msimu uliopita, so lazima tuoneshe UMWAMBA kuwa sisi ndio BABA LAO.
Yote yanawezekana mkuu, yeye anachokuambia anasema anaangalia ushindi-3points, na sio kuwa sijui nani hajapangwa.Unaweza ukashanga hata leo Costa akaanzia benchi na huko mbele kukawa na
HAZARD + PEDRO + WILLIAN.
Mkuu tumia vizuri madhaifu ya mwenzio sio kunyanyasa bali kunufaika, acha kwanza tuweke heshima.Hahahaha
Tusha waelewa kuwa mmerud naona mna kaza kama magufuli vile
Achien kidogo ligi ipendeze
Mkuu leo usikose kuangalia game ngumu duniani on current days, hii game hata Elclassico haioni ndani, kama huamini, refer past game november zote zilikuwa siku moja hii na elclassico ila matokeo yake elclassico ilipoteza mvuto/ushindani kwa hii "london derby". Mda ni saa 5 za usiku.Hahahaha
Tusha waelewa kuwa mmerud naona mna kaza kama magufuli vile
Achien kidogo ligi ipendeze
Leo hakuna cha nini wala nini na uzuri tukimfunga tott tumefunga epl nzima kwa Siku ya Leo make hamna anayetutakia memaMkuu tumia vizuri madhaifu ya mwenzio sio kunyanyasa bali kunufaika, acha kwanza tuweke heshima.
Ntaenda kuichek ila tot ni wazembe sana kias hawanipi mzuka wa kwenda kuchekiMkuu leo usikose kuangalia game ngumu duniani on current days, hii game hata Elclassico haioni ndani, kama huamini, refer past game november zote zilikuwa siku moja hii na elclassico ila matokeo yake elclassico ilipoteza mvuto/ushindani kwa hii "london derby". Mda ni saa 5 za usiku.
Mkuu karibu sn ktk uzi wetu.....Ntaenda kuichek ila tot ni wazembe sana kias hawanipi mzuka wa kwenda kucheki
Shukran sn mkuu...Mkuuu uko vizuri sana.
Timu inashinda now kwa sasa sina tatizo nayoMkuu karibu sn ktk uzi wetu.....
Vipi waionaje hali ya Jose Mourinyo na Utd kwa sasa??? Nilikwambia Jamaa atawakomboa unaona sasa???
Mkuu ata iwe fixtures ngumu kivipi Jose Mourinyo atawavusha salama tu.Timu inashinda now kwa sasa sina tatizo nayo
Yes ulisema hilo i give you credit for that
Lakin lets wait and see maana Ligi bado inaendelea, mengi yana kuja na fixtures ngumu zaidi zinakuja lets wait
Leo Luiz akipewa kadi ya njano ingawa siombei hilo litokee next game utamuona Zouma ndani.....Kwa nn zuma hachezi na alishapona namkubali cna yule dogo
Lets wait na mimi nilisema kama tuna shinda ntaweka silaha chini.Mkuu ata iwe fixtures ngumu kivipi Jose Mourinyo atawavusha salama tu.
Jamaa kaishaweka timu vzr sasaivi ni kutelemka tu. Kadabra sasaivi yuko nafasi ya pili kwa wafungaji wa Epl. Mnakuja vzr sn wakati huo City, Liverpool na Gunners mambo yao yako hovo....