Labda wameamua kuibeba timu yao kwa nguvu.Duh nimeangalia replay ya game ya man utd na westham aisee nahisi kama zile bahasha za khaki za Ferguson zimerudi. Kadi nyekundu unfair na goli lingine la offside.
Anyway Man akicheza na liverpool labda draw!
Hatuna presha na huo mchezo ata kidogo..... Tunachojua kesho baada ya game nyie wenyewe mtaanza kutuita mabingwa......Basi basi ndugu zangu tukutane pale machinjioni White Hart lane ifikapo J5...pale ambapo Mjaluo Kante atakapo wekwa Chini ya ulinzi mkali wa Victor Wanyama..... nahisi Ile Record ndo mwisho wake hio j5
hivi umeelewa maana ya volleyball? Nashangaa unaanza kuleta takwimu badala ya kuleta takwimu za kukamata mpiraMane 9 goals 4 assists
Hazard 9 goals 2 assists
HIVI KWA HIZI STATS NANI NI MWANA VOLLEYBALL?IKIBAKI JEZI MOJA NANI ATACHEZA?
Statistics ina tabia moja muhimu sana,huumbua watu!!
Hahahahaaahivi umeelewa maana ya volleyball? Nashangaa unaanza kuleta takwimu badala ya kuleta takwimu za kukamata mpira
Sio kufungwa tu, hata draw hatujapata,Kumbe Chelsea hatujawahi kufungwa kwenye EPL tangu tarere 01/10/2016? Stunning record!
View attachment 453519
Hazard na mane mbingu na ardhi wakati hazard anatarajiwa kuwa mchezaji bora wa EPL endapo team itachukuwa ubingwa ,mane hawezi fikiriwa kwenye kinyang'anyiro hiko,endapo Liverpool atachukua ndoo japo haiwezekani basi bora ni cotinyoMane 9 goals 4 assists
Hazard 9 goals 2 assists
HIVI KWA HIZI STATS NANI NI MWANA VOLLEYBALL?IKIBAKI JEZI MOJA NANI ATACHEZA?
Statistics ina tabia moja muhimu sana,huumbua watu!!
Basi basi ndugu zangu tukutane pale machinjioni White Hart lane ifikapo J5...pale ambapo Mjaluo Kante atakapo wekwa Chini ya ulinzi mkali wa Victor Wanyama..... nahisi Ile Record ndo mwisho wake hio j5
kumbuka mzunguko wa kwanza tulimchinjaBasi basi ndugu zangu tukutane pale machinjioni White Hart lane ifikapo J5...pale ambapo Mjaluo Kante atakapo wekwa Chini ya ulinzi mkali wa Victor Wanyama..... nahisi Ile Record ndo mwisho wake hio j5
Kumbuka kuwa mlikua kwenu this time mnaenda kwao..[emoji41][emoji41]kumbuka mzunguko wa kwanza tulimchinja
Mkuu siku hizi hakuna cha nyumbani wala ugenini mtu anapigwa popote paleKumbuka kuwa mlikua kwenu this time mnaenda kwao..[emoji41][emoji41]
Maneno yote ya nini mkuu Siku yenyewe ni kesho ..Kumbuka kuwa mlikua kwenu this time mnaenda kwao..[emoji41][emoji41]
Hali ni mbaya sn huko White Hart Lane wanajitahidi sn kupanga mipango ya kuwasaidia kuizuia chelsea lkn wanainamisha vichwa chini na kubaki kusema kz ni kubwa.Kumbuka kuwa mlikua kwenu this time mnaenda kwao..[emoji41][emoji41]
Ubora wa mchezaji hahangalii goli na assist tuNaona mwenzetu ni mpenz wa chenga twawala wala sio END RESULTS
As we speak,MANE ana anza kwa Hazard kama wanagombea nafasi moja
Mane kafunga na kusababisha magoli 13
Hazard kafunga na kusababisha magoli 11
Am out narudi home!
Achana na iphone zinatesa sana sio user friend-zimekaa kichoyochoyo, mobodro inakubali simu za android. Hyo ndio shida ya ma-iphone.Mbona mimi nimejaribu kudownload kwa kutumia iphone lakin inakataa...naomba msaada
Sasa kumbe nyinyi mbio zote munahofu na liva? Nyinyi waogepeni united na city au hata spurs lakini sio liva wala arse8, hao ni wasindikizaji, sisi tunawafaham kitamboNilisema mm!!! Kwenye Epl sunderland wanaweza mzuia Liver
Haya sasa!!!!
kitendo cha liver kutoa sare leo kimewaongezea nguvu wachezaji wa chelsea
Asante sunderland
Wakati mwengine muwe fair basi, vp na lile goli la zlatan dhidi ya sunderland? Ni kweli lilikua goli la kukataliwa?united wameanza kutembea na mbeleko baada ya kuona ligi ngumu. wameamua watumie mbinu za mzee fergie, ngoja tuone mwisho wake, game ya jana ile red haikuwa red card , faulo nyepesi sana, goli la pili wachezaji watatu walikuwa offside.
Weka akiba ya manenoDuh nimeangalia replay ya game ya man utd na westham aisee nahisi kama zile bahasha za khaki za Ferguson zimerudi. Kadi nyekundu unfair na goli lingine la offside.
Anyway Man akicheza na liverpool labda draw!