Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea atachukua ubingwa...Man Utd angekuwa point 5 nyuma ya Chelsea labda ndio pekee ingeweza kumpoka Chelsea ubingwa tatiz wapo mbali sana!!Nani anaweza kumpita Chelsea??hilo ndio swali LA msingi!!
Kwa sasa timu zenye hali ya kugombea ubingwa ni chelsea liver na arsenal man city au man u hawapo kabisa so usijichoshe kifupi man u ata kwenye top four hatakuepo
 
Kwa sasa timu zenye hali ya kugombea ubingwa ni chelsea liver na arsenal man city au man u hawapo kabisa so usijichoshe kifupi man u ata kwenye top four hatakuepo
Huwa nawashangaa wanaoijumuisha man u ktk mbio za ubingwa hii man u iliyofungwa na chelsea goli 4 hata top 4 sidhani kama wataingia
 
Kwa sasa timu zenye hali ya kugombea ubingwa ni chelsea liver na arsenal man city au man u hawapo kabisa so usijichoshe kifupi man u ata kwenye top four hatakuepo
man city nao kwa sasa wametepeta sana sidhani kama wapo serious
 
Usitetee kwamba tulifungwa mapema sana, Hebu kuwa muwazi mkuu.
Je, huko mbeleni nako tukisimamishwa unaleta kisingizio gani humu......?
 
Kulia kwa William kuna sababu zake nje ya uwanja haswa kumpoteza mama yake kipenzi ...!!!
 


Nawaheshimu sana wana jukwaa hili ila sizani kama mmekosa fadhila kiasi hiki

Kwamba ni rugby au mieleka?? Niseme tuu msiuzungumzie ubingwa kwa sasa
Ndiyo maana timu yako ubingwa wake ni kuingia top 4 kwa sababu mnajiwekea malengo madogo, timu kama chelsea tunachopigania kwa sasa ni ubingwa na sikinginecho ndiyo maana huwezi kumsikia mwanachelsea anayeongelea kuingia top 4 bali anaongelea ubingwa mambo ya top 4 tumewaachia nyie
 
Usitetee kwamba tulifungwa mapema sana, Hebu kuwa muwazi mkuu.
Je, huko mbeleni nako tukisimamishwa unaleta kisingizio gani humu......?
Sioni uwezekano wa chelsea kudondosha points kizembe zembe.....

Na ili ulione hili subiri j5
 
Daa mazee nawazia io spurs tu, ivi tutatoka kweli?? Maake jamaa mtata sana hasa akiwa kwao ..bado clop wa liver nae anatuchimba bitii na maneno ake; alafu ksho yuko na Sunderland. Point tatu izo ksho znakatiwa chinn uuwiii Mungu saidia.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Usikonde mdau kwa huyu Spurs najua game itakuwa ngumu sana, ila hayo yote tumuachie Conte na vijana wake
 
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…