chilumendo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2013
- 3,433
- 4,493
mwanzo nilikuwa najua wewe ni mwenzetu ktk thread hii nilivokucheki jukwaa la arsenal na namna ulivyokuwa unacomment nikaamini wewe nimwana arsenal, mkuu hongera sana uko flexible huwezi jua wewe ni timu gani big up sana mkubwa@Bak
Chelsea’s Willian celebrates scoring his first goal against Stoke.
mwanzo nilikuwa najua wewe ni mwenzetu ktk thread hii nilivokucheki jukwaa la arsenal na namna ulivyokuwa unacomment nikaamini wewe nimwana arsenal, mkuu hongera sana uko flexible huwezi jua wewe ni timu gani big up sana mkubwa@Bak
mkuu hawa liver kwa timu kubwa anajua kuzichanga kalata zake vizuri utasubiri uchokeLiverpool imeshinda lkn ni kwa bahati tu. City walitawala kila kitu na kwa huu uchezaji wa Liverpool sizani ktk second round atazifunga timu kubwa.
Ngoja tutamuona tena Liverpool na Utd tarehe 15 OT
hahaha nadhani wanadhani ni liver ya zamani jamaa wapo serious na kombe chelsea akiteleza tu wanapita kwenye kwapa tena baada ya kushinda mechi ya leo ubingwa ni kati ya farasi wawiliMkuu, yani watu wengine kama hawa wanashangaza sana, sijui itakuwa viroba....!!! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hamna lolote mkuu. Tena km tutakwenda kwao lazima tuwafunge hawa. Kwa huu uchezaji wao butu tunawafunga mengimkuu hawa liver kwa timu kubwa anajua kuzichanga kalata zake vizuri utasubiri uchoke
mechi ya man city na chelsea man city alitawala hivyohivyo, kumbe kutawala kwa man city hakuzipi timu pinzani shida cha msingi ni point 3 wewe unatawala wengine wanakulaga in manfongo voiceLiverpool imeshinda lkn ni kwa bahati tu. City walitawala kila kitu na kwa huu uchezaji wa Liverpool sizani ktk second round atazifunga timu kubwa.
Ngoja tutamuona tena Liverpool na Utd tarehe 15 OT
City hawakua na bahati km waliyokua nayo lfc lkn kwa jinsi lfc inavyocheza ifanye kz sn kushindana na hizi timu kubwamechi ya man city na chelsea man city alitawala hivyohivyo, kumbe kutawala kwa man city hakuzipi timu pinzani shida cha msingi ni point 3 wewe unatawala wengine wanakulaga in manfongo voice
sisi wenyewe wapinzani wetu wanatusema hivyohivyo kwamba bahati inatubeba lakini tunaongoza ligi kumbe ushindi wakati mwingine unaenda na bahati mfano leo willian alikuwa na bahati ya kufunga magoli hii inatokana na yeye maranyingi ni mkosaji mzuri wa magoli na tumekuwa tukimulaumu sana kakini leo is the man of matchCity hawakua na bahati km waliyokua nayo lfc lkn kwa jinsi lfc inavyocheza ifanye kz sn kushindana na hizi timu kubwa
City hawakua na bahati km waliyokua nayo lfc lkn kwa jinsi lfc inavyocheza ifanye kz sn kushindana na hizi timu kubwa
asante mkuu happy new year u tooHongereni wanachelsea fans. Kweli nimeamini tuna striker mzuri costa. He is the best striker in Epl. Happy new year 2017
Mkuu unajua najaribu sn kuitafakari hii lfc ambayo watu wanaona iko moto.... Binafsi sioni kitu kikubwa sn kwa hawa Jamaa. Tena km wanakutana na chelsea tutawalazimisha kufata mchezo watu hapo ndio tutawapiga vzr. Sisi tunacheza mpira wa kiitaly hasa yani adui yako unamlazimisha afate vile unavyotaka wewesisi wenyewe wapinzani wetu wanatusema hivyohivyo kwamba bahati inatubeba lakini tunaongoza ligi kumbe ushindi wakati mwingine unaenda na bahati mfano leo willian alikuwa na bahati ya kufunga magoli hii inatokana na yeye maranyingi ni mkosaji mzuri wa magoli na tumekuwa tukimulaumu sana kakini leo is the man of match
Nikija ktk swala la baadhi ya mashabiki kumlaumu Willian ni kwamba wanakosea kwasababu ni wachezaji wengi tu hukosa magoli. Ata leo Hazard alikosa goli kipa akiwa kalala chini na huyo huyo kipa akafuta.... So ukifika muda atafunga tusisi wenyewe wapinzani wetu wanatusema hivyohivyo kwamba bahati inatubeba lakini tunaongoza ligi kumbe ushindi wakati mwingine unaenda na bahati mfano leo willian alikuwa na bahati ya kufunga magoli hii inatokana na yeye maranyingi ni mkosaji mzuri wa magoli na tumekuwa tukimulaumu sana kakini leo is the man of match
Mkuu watu wanacheza huku wanaangalia ratiba ya mchezo ijayo.Kwa kweli Hatukucheza poa leo
asante mkuu nawe pia happy new year 2017Shukrani sana Mkuu. Heri ya mwaka mpya.
ingekuwa chelsea ya zamani hii mechi ya leo tungepotezaKwa kweli Hatukucheza poa leo
Tuombe Mungu siku hiyo vijana wetu wote first eleven wawepoMkuu unajua najaribu sn kuitafakari hii lfc ambayo watu wanaona iko moto.... Binafsi sioni kitu kikubwa sn kwa hawa Jamaa. Tena km wanakutana na chelsea tutawalazimisha kufata mchezo watu hapo ndio tutawapiga vzr. Sisi tunacheza mpira wa kiitaly hasa yani adui yako unamlazimisha afate vile unavyotaka wewe
Hilo ndio kubwa mkuu.Tuombe Mungu siku hiyo vijana wetu wote first eleven wawepo
Acha ushabiki mkuu mpira unabadilika kulingana na gemu we unazani liver kucheza ivyo leo ndo atacheza kila sikuCity hawakua na bahati km waliyokua nayo lfc lkn kwa jinsi lfc inavyocheza ifanye kz sn kushindana na hizi timu kubwa