chilumendo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2013
- 3,430
- 4,486
toka ligi ianze mzunguko wa kwanza hawajafungwa nyumbani, hivyo pamoja ningependa watoke sare lakini nionavyo form ya liver, kesho liver anamchapa mtu goli nyingi man city si wazuri kiivyo nadhani kesho utaniambiaHakuna anaewazarau lfc lkn wao lfc wanabebwa na wao kucheza nyumbani lkn km city watakua na Sane, Sterling, Silva, De bruyne na Kuna. Then Yaya na Fenandinho wakawepo hapo na wakacheza kwa kiwango kikubwa sioni namna lfc inaweza kuwazuia hao. Hasa mkizingatia Coutinho na Matip wanaweza wasicheze hawako fiti.
laa kweli kila mtu na maono yake yaani top three unawaingiza man u mmmh man u hata top five sidhani kama wataingia nionavyo mimi table ilivyokaa ndivyo kila timu itakavyomalizaNi kweli unachosema kaka, lakini ukiangalia aina ya wachezaji waliopo kwenye hizo timu bado unaweza kupredict top three, kwa mtazamo wangu, Chelsea, Liver na United ndio watagombea nafasi tatu za juu,
Arsenal wanashida ya Kocha kukosa mbinu za kimchezo hasa ikifikia kipindi hichi cha round ya pili, yeye huwa habadiriki kwa lolote, mfano anapofanyaga sub ya kumwingiza Giroud huwa hamuandalii mazingira ya kuweza kufunga kwa maana ya kubadirisha aina ya mpira anaocheza na kwenda kwenye mpira wa cross ili jamaa apige vichwa, jamaa ni mzuri wa vichwa lakini huwa anafunga kwa bahati na sio kwa malengo
City bado wanashida ya Kocha kuwa mgeni wa league na pia wanashida ya kina toure na Fenarndinho, hao jamaa wana uzito fulani ambao wakipata timu zenye kukimbiza na middle wepesi watapata shida, cha pili cocha bado anaangaika na kupata timu ya kudumu 1st 11, mechi ya mwisho waliyocheza na Hull city, dakika ya 30 tu ya kipindi cha kwanza alishamwita Fenandinho kwenye benchi, Fenandinho alibakia ndani kwa sababu kuna mtu aliumia hivyo ilibidi atoke na Fena akacheza mpaka mwisho, so kocha anaweweseka
Man united kwa sasa wanacheza mind game, Mou anaanza kutumia uwezo wa wachezaji na uwezo wake binafsi, hivyo kwa huo utundu na ubunifu wa Mou timu itafika top 3
Liver wapo fit, pamoja na mapungufu ya hapa na pale ila watafika top 3
mkuu haya maneno uje uyaseme tena baada ya mechi liver si warahisi kiivyo tena nyumbani kwaoGuardiola ili na yeye awe Ktk miongoni mwa timu zinazowania ubingwa na huo mchezo wao utakua mgumu sn km Guardiola atatilia uzito huu mchezo.
Alafu huu mchezo wao City niliona km Guardiola alitaka kuwapumzisha Koralov na Zabaleta. Alafu kumbuka Aguero atakua uwanjani siku hiyo. Na pia kuna wachezaji pale mbele wa City wameanza kuelewana na kua moto sn. Kuna Sane, Sterling, Silva na De Bruyne na Kuna mwenyewe hapa sipati picha km watapangwa alafu huku nyuma akae Toure na Fenandinho. Hii itakua shughuli pevu sioni namna lfc wanaweza kuwazuia hawa.
Ndio kitu ninachokifikiria hicho Mkuu japo dk 90 kitaeleweka tuu.toka ligi ianze mzunguko wa kwanza hawajafungwa nyumbani, hivyo pamoja ningependa watoke sare lakini nionavyo form ya liver, kesho liver anamchapa mtu goli nyingi man city si wazuri kiivyo nadhani kesho utaniambia
Guardiola ili na yeye awe Ktk miongoni mwa timu zinazowania ubingwa na huo mchezo wao utakua mgumu sn km Guardiola atatilia uzito huu mchezo.
Alafu huu mchezo wao City niliona km Guardiola alitaka kuwapumzisha Koralov na Zabaleta. Alafu kumbuka Aguero atakua uwanjani siku hiyo. Na pia kuna wachezaji pale mbele wa City wameanza kuelewana na kua moto sn. Kuna Sane, Sterling, Silva na De Bruyne na Kuna mwenyewe hapa sipati picha km watapangwa alafu huku nyuma akae Toure na Fenandinho. Hii itakua shughuli pevu sioni namna lfc wanaweza kuwazuia hawa.
tena watapigwa si chini ya goli 3,hawa liver msimu huu wamekamia sana ndiyo maana hawatuachii tupumue. Ila dawa yao inachemkaNdio kitu ninachokifikiria hicho Mkuu japo dk 90 kitaeleweka tuu.
Hawa Man City nakwambia watakimbizwa wala waendesha bodaboda.
Naombeaa wagawane points aka sareNdio kitu ninachokifikiria hicho Mkuu japo dk 90 kitaeleweka tuu.
Hawa Man City nakwambia watakimbizwa wala waendesha bodaboda.
Hata mie ndio ninacho kiomba japo hawa Man City wakikutana na wachezaji wenyemnyumbulisho wanaowaza mda wote kushambulia kuliko kukaba itawakostiNaombeaa wagawane points aka sare
Ndo tatizo lao ila naamini kuna point 1 mojaHata mie ndio ninacho kiomba japo hawa Man City wakikutana na wachezaji wenyemnyumbulisho wanaowaza mda wote kushambulia kuliko kukaba itawakosti
Habari Mentor kuhusu kutoka droo ndiyo ombi kubwa lakini ukiicheki liver kwa jicho la tatu jamaa wako serious na kombe sidhani kama wataruhusu droo hiyo game itakuwa open mwenye washambuliaji wazuri ndiye ataibuka mshindi ila mimi nampa nafasi liver,kwangu miye city siwaamini na hata kwenye ubingwa nilishawatoa toka walipofungwa na leicercity goli nadhani 4 hawako serious kabisaKule kwa wanaotufuatia...ingependeza kama wakitoa draw ambayo ndiyo possibility kubwa maana udhaifu wa mmoja ndo nguvu ya mwenzake. Ila Man city naona wakipangwa Fernandinho na Toure pale kati hapawi stable nadhani ni uzee. Sijui kama kocha wao atalishughulikia ama la. Vyovyote vile adui tunamwombea njaa, draw! Ila hata akishinda yeyote...kwangu furaha.
Na hapo kwenye kufunguka kwa liver ndipo kulipo kaburi lao mkuu.Habari Mentor kuhusu kutoka droo ndiyo ombi kubwa lakini ukiicheki liver kwa jicho la tatu jamaa wako serious na kombe sidhani kama wataruhusu droo hiyo game itakuwa open mwenye washambuliaji wazuri ndiye ataibuka mshindi ila mimi nampa nafasi liver,kwangu miye city siwaamini na hata kwenye ubingwa nilishawatoa toka walipofungwa na leicercity goli nadhani 4 hawako serious kabisa
uzuri wa timu zote nimarisk taker yaani hawajali kufungwa wenyewe wanachoamini funga goli kadri uwezavyo adui yako atakata tamaa.Na hapo kwenye kufunguka kwa liver ndipo kulipo kaburi lao mkuu.
Guardiola akijipanga vizuri ana possibility kubwa ya kushinda kiliko Klopp.
Klopp hana alternatives nyingi hasa kule mbele. Ila Guardiola ana wachezaji wengi wenye uwezo tofauti tofauti kule mbele. Kwa game ya kesho...dont write them off nakuambia.
Na kwa top four ndiyo timu iliyofungwa magoli mengi kuliko wote.uzuri wa timu zote nimarisk taker yaani hawajali kufungwa wenyewe wanachoamini funga goli kadri uwezavyo adui yako atakata tamaa.
Hivyo basi kwangu liver kwa open football ya namna hiyo nampa nafasi na hili linajidhirisha kwani ndiyo timu iliyofunga goli nyingi kuliko timu zote
Mentor huyu guardiola wenu leo mtamkataa hawa liver wanacheza kwa spirit kubwa mno ambapo naamini man city hawana hiyo spirit ngoja tusubiriNa kwa top four ndiyo timu iliyofungwa magoli mengi kuliko wote.
Tofautisha hilo na man city. Hivyo basi Guardiola akiweza kupanga midfield yake vizuri basi ana chance kubwa za kushinda.
Liverpool have the spirit ila guardiola has the players.Mentor huyu guardiola wenu leo mtamkataa hawa liver wanacheza kwa spirit kubwa mno ambapo naamini man city hawana hiyo spirit ngoja tusubiri
Mkuu leo tunaangalia viwango vya hizi timu tu lkn km city watakua wazuri km walivyocheza na Arsenal basi lfc atakua na kz kubwa lkn hakuna anaewabez LFCMentor huyu guardiola wenu leo mtamkataa hawa liver wanacheza kwa spirit kubwa mno ambapo naamini man city hawana hiyo spirit ngoja tusubiri