Chelsea FC (The Blues) | Special Thread


kaka wapi nimekwambia sijui THE SUN nini??Usianzishe ligi ingine,hunijui sikujui,hujui nimeanza kusoma lini the sun kaka,FYI kazini kila mtu ananijua as MR THE SUNaka MR PAGE 3,coz kila nikiingia kazini THE SUN liko mkononi,i've got a lot to learn but not WHAT THE SUN IS!
 

kweli mkuu umepatia sana hapo.....
 
refa kaona penati mbili nimewabeba na bado mnashika shika tu.refa kajiuliza ni wabebe vipi mnataka?
 
hawa spurs wanafurahisha sana, wamewakamata jamaa ile mbaya, chelsea wakitoka hapa ni kwasababu tu ukubwa dawa, vinginevyo wanalala kwa 3 au 4 kwa 1.
 
gareth bale mbona kawatukana hapo katika kushangilia goli? naona kaonesha alama ya tundu ha haha.
 
leo chelsea hawatoki mmmmh
hawa spurs wanafurahisha sana, wamewakamata jamaa ile mbaya, chelsea wakitoka hapa ni kwasababu tu ukubwa dawa, vinginevyo wanalala kwa 3 au 4 kwa 1.
 
...😀 sijui nicheke au bado tu nivumilie???, mnh! ...'Kilio cha wengi harusi!' GADEMU wallahi hawa Spurs!!!!
 
Chelsea wameshachanganyikiwa, jamaa amefanya sub za kutosha na Drogba mambo yanamuwia vibaya. Kazi ipo. By the way, Arsenal wanaweza kurudi kwenye kinyang'anyiro cha ubingwa.
 
Chelsea wameshachanganyikiwa, jamaa amefanya sub za kutosha na Drogba mambo yanamuwia vibaya. Kazi ipo. By the way, Arsenal wanaweza kurudi kwenye kinyang'anyiro cha ubingwa.

aha ha ha... acha tu! kwa huyu Acheni-Lote..lolote linawezekana. Sijasahau kwenye fainali ya Champions league AC Milan ilikuwa inaongoza 3-0, Liverpool wakasawazisha na kuwafunga vile vile...Abdulhalim unakumbuka?

Anyway, tusubiri dkk ya 90!!!
 
leo refa limeamua kwamba hakuna kubebwa kijinga jinga .ndio ndio refa mpe kadi nyekundu masanilo na peasant nao popote walipo.Pape wewe kadi ya njano kwa vile unajua fair play ha ha ha.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…