Majukumu ya kujilinda hayatekelezwi na hao mabeki watatu tu. Timu inalindwa na mabeki 5 na viungo 2 muda wote na wakati mwingine mpk viungo washambuliaji wanarudi kulinda yani unakuta timu iko na mabeki watano viungo wanne yani 9. Ni Costa tu ndio anabaki huko mbele kwa muktadha huo timu haijilindi?Inashangaza sana kuona kuwa mabeki 3 nyuma halafu unatuhumu timu kujilinda?
Mkuu umeuliza barca inacheza mpira wa kasi na kumiliki kuliko barca?????? Sasa hapo nimeenda wapi OP?????? CHelsea ya conte inacheza kasi sana mkuu, hivyo average player kama obi hawawezi endana nayo.Mkuu nilichouliza ni kingine na wewe umejibu kitu kingine kabisa sijui hukuelewa swali langu? Nafikiri hii mada ni ngumu tuiache mkuu
Angalia pia ni Goli ngapi walizofungwa hapo ndio utajua km bus linapakiwaNtuzu
Hapa ni ngumu kukubaliana nawe mkuu huwezi kunambia chelsea wanapaki bus wakati wana goal more than 16 kwa mechi 5 tu,je wao wanaoshambulia wana goal ngapi walizofunga na kufungwa? anashindwa tu kusema chelsea wana beki imara isiyofungika kirahisi
Hakuna sehemu km nimedai kua Obi apangwe ila ninatetea dhana ya kua Obi kaisha wakati sioni km hilo ni sahihiKilichobaki sasa hivi ni ushabiki na mahaba ya wachezaji tumekosa sababu za kulaumu kabisa,naomba nikuulize mkuu unataka obi acheze badala ya nani pale? matic au kante ? maana kama tuna wachezaji wazuri tu lakini wanakaa benchi sasa je kocha anapanga kikosi chake kinachotupa sababu za kutamba mitaani lakini sisi tunataka fulani acheze badala ya fulani ili hali kocha kaona siyo sahihi na yupo nao mazoezini kila siku,obi anataka acheze kocha kocha nae anaona obi hafiti kwenye mfumo wake,so hakuna jinsi ni kumuuza tu
maskin, kumbe unataka waache lango waz tu!! duuuhAngalia pia ni Goli ngapi walizofungwa hapo ndio utajua km bus linapakiwa
inarushwa eat?Mkuu hujafika hata "rusumo road" kuelekea rwanda kwa mtoto wa "ki-tusi". Haa haaa saa 18:00 EAT, inabidi uwaangalie mabingwa wa EPL.
Kwahiyo kumbe mnakubali kua bus linapakiwamaskin, kumbe unataka waache lango waz tu!! duuuh
Kwahiyo kumbe mnakubali kua bus linapakiwamaskin, kumbe unataka waache lango waz tu!! duuuh
Mkuu EAT is an abbreviation-EAST AFRICA TIMES.inarushwa eat?
Hukuona siku Ile walivokuja darajani walivotuzidia na Obi hakuwepo???Mkuu MD ya spurz ya akina "mousa dembele+victor wanyama+delle alli" unataka umchezeshe obi????????? Na hapo hapo unataka ubingwa.
Sio kweli mkuu. Chelsea haichezi kwa kasi Ktk big game tulizocheza unaweza kuliona hilo.Mkuu umeuliza barca inacheza mpira wa kasi na kumiliki kuliko barca?????? Sasa hapo nimeenda wapi OP?????? CHelsea ya conte inacheza kasi sana mkuu, hivyo average player kama obi hawawezi endana nayo.
Haaa haaa bro, obi angecheza tungepigwa mkono, believe me. Obi hana kitu ndo maana "conte"-taylor anataka tu amuuze china au maseile kama sio league za wazee/vijeba SERIE A.Hukuona siku Ile walivokuja darajani walivotuzidia na Obi hakuwepo???
Ata tulivoenda kwa Man City?? Lazima tuwe na watu wa nguvu hapo kati
Ushindii muhimuuuuChelsea team today: Courtois; Azpilicueta, David Luiz, Cahill (c); Moses, Fabregas, Matic, Alonso; Willian, Hazard, Pedro.
Ushindii muhimuuuuChelsea team today: Courtois; Azpilicueta, David Luiz, Cahill (c); Moses, Fabregas, Matic, Alonso; Willian, Hazard, Pedro.