khalfan shaban
Senior Member
- Jan 1, 2013
- 110
- 55
Hiyo nzriii, nimeipendaNimesikia ktk vyombo mbalimbali kuwa chelsea inamuwinda james rodrigues ambaye hana furaha pale madrid,kama chelsea tukimpata huyu bwana sina shaka ataisaidia sana chelsea ni miongoni mwa wachezaji wazuri lakini timu aliyopo haijatambua kipaji chake
Hapo matic na fabry watacheza kati hazard,William watakuwa nyuma ya Pedro na batshy ataingia kama sub tuondoe hofu kama conte atapita humu.na angalia city anashinda bila ya mshambuliaji natural ,arsenal wamepata matokeo mazuri pasipo mshambuliaji natural Pedro anaweza kazi huyoHofu yangu sio kutokuwepo ngolo kante katika match na bournamouth bali mtu atakaechukua nafasi ya costa
Batshuay haaminiki kabisa kwa sababu ya kukalia sana bench
Sijui conte atambadilisha vipi mich maana mwenyewe hana furaha sababu ya kuwekwa sana bench
Kwa ngolo sina shaka fabrigas ataziba vizuri na matic lakini hofu yangu ni mtu anamrithi diego costa
Lakini ngoja tutaona atafanya nini conte na mich batshuay
Nafi[/QUOTE]Nafikiri mfumo nao unachangiaTE="Student Teacher, post: 18920091, member: 249242"]Bravo Chelsea.
Timu bado ina miss wafungaji wa magoli ya mbali kama Lampard, tangu tucheze na Man city sasa hivu timu zimegundua zinakaba sana kwenye eneo lao, yani unakuta Chelsea ina attack halaf unakuta wachezaji kama 8 hivi wakizuia nashambuluzi na ndio maana kwa sasa magoli ya Chelsea yanafungwa kwa counter attack..
Tungepata wapigaji wa shoots kama alivyokuwa Lampard, Ballack au Essien tungekua na uhakika wa ushindi wa goli nyingi zaidi
Nami nilitaka niseme hivi hivi...pedro atacheza kama false 9.Hapo matic na fabry watacheza kati hazard,William watakuwa nyuma ya Pedro na batshy ataingia kama sub tuondoe hofu kama conte atapita humu.na angalia city anashinda bila ya mshambuliaji natural ,arsenal wamepata matokeo mazuri pasipo mshambuliaji natural Pedro anaweza kazi huyo
Essien alifunga magoli mangapi Chelsea? Sijui kama yalifika 10.Nafi
mie nimependa mana tumekuwa watulivu sana mtaani.sikupenda man city ashinde kabisa bora arsenal akukalibie kuliko man city
Hivi sasahivi umekuwa Chelsea aiseeeee!!! sikulijua hili.... Ntuzu mbona hujaniambia hizi habari?Namkubali sana huyo mchezaji, conte anajua sana kupoint/pick players, akija huyo na marco verrati, tutakuwa tushafunga vitabu vya mahesabu(year of income).
huyu mdau hapo mwanzo nami alanichanganya nadhani umechanganya nonda na nando ni member wawili tofautiHivi sasahivi umekuwa Chelsea aiseeeee!!! sikulijua hili.... Ntuzu mbona hujaniambia hizi habari?
NIONGEZE NA MIMI CHELSEA DAMUhuyu mdau hapo mwanzo nami alanichanganya nadhani umechanganya nonda na nando ni member wawili tofauti
Ni kweli wengine walifunga lakini angalia kuna siku hawatafunga na match itahitaji mshambuliaji mmoja atakaeamua matokeo kwenye match ngumu mfano ni dhidi ya westbromwich na crystal palace hizi match kwa aina ya mpira uliokuwa ukichezwa kama tusingekuwa na mtu anaelazimisha kufunga kwa kulalia mabeki zilikuwa zinaisha kwa sare ya bila magoliWiki moja inatosha sana kumjengea confidence Batshuay na ku-perform vizuri! Uzuri mwingine ni kwamba mechi ambazo Diego hakufunga walifunga wengine.
karibu mkuu hili ni jukwaa huru kwa kila mwanachelsea karibu kwa michango nini kifanyike kwa timu yetu ili tuendelee kuwa juu pale ambapo kila timu inapakodelea macho
eden kimari mdau wangu nilimsoma yule kocha wa westbrom au crstal palace alisema kwamba mfumo anaoutumia chelsea siyo mgeni kwake kwani ameutumia mara nyingi hata kabla ya conte kuja epl. Anasema mfumo huo haujampa mafanikio kama alioupata conte.Kiukweli kuna baadhi ya wachezaji wakiumia au kuwa na kadi itatugarimu
Wachezaji hao ni aspilicueta huyu sijui mbadala atakuwa nani maana hatuna mtu mwenye uzoefu pale kama ilivyo aspilicueta
Mwingine ni alonso huyu jamaa ana uwezo mkubwa mno wa kupanda na kushuka sijui akiumia au akapata kadi ni yupi mzoefu atakaechukua nafasi yake ndio maana nilisema team inahitaji beki mmoja mshambuliaji wa kiwango cha juu na kiungo wa kati mmoja ili team isiyumbe hii ni kazi ya conte january
Kiukweli kuna baadhi ya wachezaji wakiumia au kuwa na kadi itatugarimu
Wachezaji hao ni aspilicueta huyu sijui mbadala atakuwa nani maana hatuna mtu mwenye uzoefu pale kama ilivyo aspilicueta
Mwingine ni alonso huyu jamaa ana uwezo mkubwa mno wa kupanda na kushuka sijui akiumia au akapata kadi ni yupi mzoefu atakaechukua nafasi yake ndio maana nilisema team inahitaji beki mmoja mshambuliaji wa kiwango cha juu na kiungo wa kati mmoja ili team isiyumbe hii ni kazi ya conte january
Unakumbuka kuna game moja tulikwenda Kwa LFC mabeki wazoefu kina terry Na baadhi ya viungo Wa kati walikua majeruhi ikabidi acheze dogo mmoja anaitwa Thomas Kalas? Unakumbumbuka vzr Suarez alivyowekwa mfukoni Na huyo dogo? Dogo alicheza vzr sn mpk kesho ninamlaumu Jose Mourinho kwanini alimtoa Kwa mkopo?Kiukweli kuna baadhi ya wachezaji wakiumia au kuwa na kadi itatugarimu
Wachezaji hao ni aspilicueta huyu sijui mbadala atakuwa nani maana hatuna mtu mwenye uzoefu pale kama ilivyo aspilicueta
Mwingine ni alonso huyu jamaa ana uwezo mkubwa mno wa kupanda na kushuka sijui akiumia au akapata kadi ni yupi mzoefu atakaechukua nafasi yake ndio maana nilisema team inahitaji beki mmoja mshambuliaji wa kiwango cha juu na kiungo wa kati mmoja ili team isiyumbe hii ni kazi ya conte january
Karibu sn mkuu
ila kwa sasa mkuu ngoja imani tumpe bashuai hakuna jinsi ili mchukue ubingwa ni lazima uvuke mabonde na milima kumbuka msimu huu huu tuliwahi shika nafasi ya 8 hapo anayeongoza akitushinda point 8 hivyo uvumilivu unahitajika sanaNi kweli wengine walifunga lakini angalia kuna siku hawatafunga na match itahitaji mshambuliaji mmoja atakaeamua matokeo kwenye match ngumu mfano ni dhidi ya westbromwich na crystal palace hizi match kwa aina ya mpira uliokuwa ukichezwa kama tusingekuwa na mtu anaelazimisha kufunga kwa kulalia mabeki zilikuwa zinaisha kwa sare ya bila magoli
So umuhimu wa kuwa na striker anaeijua kazi yake ni vizuri kuliko kuwategemea wengine warembe kwanza ndio wakufungie magoli tutakufa kwa presha