Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kwani huyu binadam Tb Joshua ameshika nafasi ya Mwenyezi Mungu? Basi kwa idhni ya Mwenyezi Mungu Chelsea watashinda in shaaa Allaah!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Bosi hujaona zaha anacho taka kufanya apo kuwa makini!
 
jaman waungwana kwenye page ya kwanza ya uzi huu mmeandika jose bdo n kocha pllllz tunatambua mchango wake xana ila mda wake ulishaisha sasa n zamu ya antonio conte, wahusika badilishen hlo jina. nawasilisha
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…