Kwa upande wa chelsea kwa msimu huu anadefence nzuri ambayo imeruhusu magoli machache sana na kwa upande wa attack nako imekamilika ...hizi timu ndogo huwa zinaotea alafu zinapaki basi cha msingi vijana waanze mechi kama vile wamefungwa. Ila kuna dought ya luis kuanza kutokana na majeruhi aliyoyapata
Conte ni kama Kinyonga,anabadilika kutokana na mazingira aliyopo kwa wakati huo,leo dozi inaendelea kama kawaida.Conte sio mjuaji anabadilika kulingana na anayechezanaye ....
Hakuna kitu cha namna hiyo,labda hiyo sheria iwe ni mpya na inaanza kutumika kwa Chelsea! Nijuavyo mimi kesi kama hizo ni team hupigwa "faini" tu au team kucheza bila supporter wake kuwepo uwanjani.Kuna taarifa za kusikitisha kwa fans wote wa chelsea kwamba kutokana na fujo za wachezaji wa chelsea kuanzia ile mechi ya toten last season na ya sasa ya man city kunauwezekano mkubwa chelsea kunyanganywa points. Sijaelewa FA wana maana gani? kunyanganya points badala ya kudeal na muanzishaji fujo
Yeah km kungekua na swala LA kupanga matokeo hapo ndio hukumu ingehusu kupokwa points au kushushwa daraja timu.Hakuna kitu cha namna hiyo,labda hiyo sheria iwe ni mpya na inaanza kutumika kwa Chelsea! Nijuavyo mimi kesi kama hizo ni team hupigwa "faini" tu au team kucheza bila supporter wake kuwepo uwanjani.
Luiz anaweza kuwapo ila Pedro kuna wasi wasi asiwepo na akaanza Willian.Kwa upande wa chelsea kwa msimu huu anadefence nzuri ambayo imeruhusu magoli machache sana na kwa upande wa attack nako imekamilika ...
Timu ambayo inaweza kuizuia chelsea kwasasa badi ni kitendawili sababu amekamilika kila idara tofauti na timu kama Liverpool wenye good attack na poor defence tofauti na Man city ambao nao defence yao inakuwa kama haijakaa sawa ..
Na kuhusu suala la Luiz kutokuwa sawa nadhani tusubiri mpaka baadae kidogo hapo ndotutajua kama ataanza au hatoanza .
Nakama ikitokea hatoanza kwa gemu ya leo hata team ceptain John Terry anaweza akacheza na kuimudu vyema sababu westbrown attack yao haiko nakasi sana .
All the Best my Chelse
ukisoma gazeti la mirror limeongelea hii issue na miaka 1990 man u na arsenal walishawahi nyanganywa points.Hakuna kitu cha namna hiyo,labda hiyo sheria iwe ni mpya na inaanza kutumika kwa Chelsea! Nijuavyo mimi kesi kama hizo ni team hupigwa "faini" tu au team kucheza bila supporter wake kuwepo uwanjani.
Kurt zouma yupo vizuri kaka ucijalihizi timu ndogo huwa zinaotea alafu zinapaki basi cha msingi vijana waanze mechi kama vile wamefungwa. Ila kuna dought ya luis kuanza kutokana na majeruhi aliyoyapata
AmenKwa upande wa chelsea kwa msimu huu anadefence nzuri ambayo imeruhusu magoli machache sana na kwa upande wa attack nako imekamilika ...
Timu ambayo inaweza kuizuia chelsea kwasasa badi ni kitendawili sababu amekamilika kila idara tofauti na timu kama Liverpool wenye good attack na poor defence tofauti na Man city ambao nao defence yao inakuwa kama haijakaa sawa ..
Na kuhusu suala la Luiz kutokuwa sawa nadhani tusubiri mpaka baadae kidogo hapo ndotutajua kama ataanza au hatoanza .
Nakama ikitokea hatoanza kwa gemu ya leo hata team ceptain John Terry anaweza akacheza na kuimudu vyema sababu westbrown attack yao haiko nakasi sana .
All the Best my Chelse
ukisoma gazeti la mirror limeongelea hii issue na miaka 1990 man u na arsenal walishawahi nyanganywa points.
mkuu wangu@ntuzu ungesoma gazeti la mirror kuhusu issue hii nadhani usingecoment kama ulivyofanyaYeah km kungekua na swala LA kupanga matokeo hapo ndio hukumu ingehusu kupokwa points au kushushwa daraja timu.
Lkn kwa mambo ya vurugu yaanangukia ktk adhabu ya faini au kucheza bila fans.
Kwa gemu ya leo sina wasiwasi hata asipoanza pedro sababu willian nae anafaa na anakila kituLuiz anaweza kuwapo ila Pedro kuna wasi wasi asiwepo na akaanza Willian.
mirror, the sun, metro....ni magazeti ya mwendo kasiMkuu mirror ni chanzo cha habari ila si chakuamini sana, ni kagazeti ka udaku
Today's subs: Begovic, Aina, Ivanovic, Chalobah, Fabregas, Willian, Batshuayi.
Team to face WBA: Courtois; Azpilicueta, David Luiz, Cahill (c); Moses, Kante, Matic, Alonso; Pedro, Diego Costa, Hazard. #CF