Good. Congrats to themHii wiki Chelsea tumedominate Manchester (the town) kama vile ndiyo home ground aisee...
manchester United 1 - 3 Chelsea (PL 2 - development squad)
Trevor Chalobah
Sterling makes it 1 - 1
Ugbo...
Najua atakuwa amewapa na motisha wachezaji pia. Safi sana PirloTulitembelewa na the Legend..PIRLO
with fellow Legend...Terry!
..with Fabregas the pass masters!
..Asmir Begovic...
..akiwa na mwanaye! (wa mwisho kulia kwake)
Amesema imembidi atembelee Cobham baada ya kusikia sifa nyingi za Chelsea from Lampard!
Hongera kwa hiyo Hattrick
This shows how wee the club is! Yaani mna foreign players watano tu ambao wana goli 50+ kwenye ligi? And you still talking about 50+ goals when others are talking about 100+ goals as the benchmark!
[HASHTAG]#justhating[/HASHTAG]
Naamini he was being satirical. Rent Boys wana sifa zipi hizo? Hata trophy room yao ipo dull! Training facilities, not the best in UK! Sasa sijui sifa zipi ambazo Lampard alimwambia!
Tupe mifano hai sio mamneno tuonyeshe wachezaji haoThis shows how wee the club is! Yaani mna foreign players watano tu ambao wana goli 50+ kwenye ligi? And you still talking about 50+ goals when others are talking about 100+ goals as the benchmark!
[HASHTAG]#justhating[/HASHTAG]
team gan England kwenye hii decade ipo kwenye mainstream kama chelsea? unaweza ifananisha na Chelsea kwa mafanikio...?? unadhan kuwa na 16...trophies in decade ni kitu cha kisport sport! (100+ goals is nothin...if it can't spearhead triumph, nadhan huyu kaota mapembe...tumuongee na mkia ama vepii!!??This shows how wee the club is! Yaani mna foreign players watano tu ambao wana goli 50+ kwenye ligi? And you still talking about 50+ goals when others are talking about 100+ goals as the benchmark!
[HASHTAG]#justhating[/HASHTAG]
Hii decade So you mean between 2010 and 2016, Rent Boys have won 16 trophies, right?!?team gan England kwenye hii decade ipo kwenye mainstream kama chelsea? unaweza ifananisha na Chelsea kwa mafanikio...?? unadhan kuwa na 16...trophies in decade ni kitu cha kisport sport! (100+ goals is nothin...if it can't spearhead triumph, nadhan huyu kaota mapembe...tumuongee na mkia ama vepii!!??
1. Cristiano (118 goals)Tupe mifano hai sio mamneno tuonyeshe wachezaji hao
acha kupretend kama hujui! najua unajua [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hii decade So you mean between 2010 and 2016, Rent Boys have won 16 trophies, right?!?
Sijui ndiyo maana nimeuliza. Kwamba tokea mwaka 2010 hadi sasa, Rent boys wameshinda makombe 16?!? Yapi hayo?acha kupretend kama hujui! najua unajua [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sanaakumbe goli la pedro lilikuwa tamu sana kivile mpaka limeshinda goli la mwezi
huyu bwana ajiangalie asije anza kuisoma namba na mourinho huko chiniVitu vingine haviitaji ujuaji
EPL sio mahali paMCHEZO MCHEZO
Conte sio mjuaji anabadilika kulingana na anayechezanaye ....Conte awe makini hizi timu za nyumanyuma sio za kudharau, now gadiola anaisoma namba
hizi timu ndogo huwa zinaotea alafu zinapaki basi cha msingi vijana waanze mechi kama vile wamefungwa. Ila kuna dought ya luis kuanza kutokana na majeruhi aliyoyapataConte sio mjuaji anabadilika kulingana na anayechezanaye ....
Mkuu unaweza nipa chanzo cha hiyo taarifa nikajirizisha?Kuna taarifa za kusikitisha kwa fans wote wa chelsea kwamba kutokana na fujo za wachezaji wa chelsea kuanzia ile mechi ya toten last season na ya sasa ya man city kunauwezekano mkubwa chelsea kunyanganywa points. Sijaelewa FA wana maana gani? kunyanganya points badala ya kudeal na muanzishaji fujo