Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Sasa nahamia kuangalia El Clasico Real Madrid against BARCA.
Nina jamaa yangu tulibet game hii...baadaye anaenda kuninunulia a soccer ball.

Sasa yeye ni fan wa Real Madrid akanilazimisha tubet hii ya classico. Mimi huwa nazipenda timu zote mbili kwa kweli nilikubali tu cause alikubali kubet yangu.

I just wish watoe draw!
 
Hata nishasahau kama kuna kufungwa kwa kweli.

Naombanirudie tena: mara nyingi (zaidi ya 90%) wakati Chelsea inacheza huwa siingii pengine popote. My concentration is wholy devoted to watching the game. Msichukulie huko kama kukimbia jukwaa.
Kwa kuruka viunzi sikuwezi!!! ngoja siku nitakubamba utamu....mechi 8 Filipino mnashinda kweli mko vizuri[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
El Clasico ndiyo inaanza in 8 minutes usikose kabisa kuona hili kandanda la kukata na shoka, I hope halitatawaliwa na rafu mbaya na refa kufanya maamuzi ya kuharibu mchezo.

Kwa kuruka viunzi sikuwezi!!! ngoja siku nitakubamba utamu....mechi 8 Filipino mnashinda kweli mko vizuri[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Kuna mashabiki wa man u kila Chelsea inapoingia kipindi cha pili wanasema hawana timu wanafuatilia cha kwanza cha pili cha nini hawakitaki
 
El Clasico ndiyo inaanza in 8 minutes usikose kabisa kuona hili kandanda la kukata na shoka, I hope halitatawaliwa na rafu mbaya na refa kufanya maamuzi ya kuharibu mchezo.
Bro wewe uko upande gani hapo?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…