Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,219
- 27,058
HaahahahahahahSaizi anamtafuta mchawi hamuoni, mara aseme wachezaji wanamuangusha, mara marefa hawampendi, mourinho kwisha habari yake. Huku sisi tukigonga DROSTOFY WINE WITH CONTE[emoji485] [emoji485] [emoji485] [emoji485] [emoji485]
Mkuu, vuta kumbukumbu last season (hazard & matic) wanakaa benchi eti wame drop viwango????? Mcheki italian tactition/techinical alivyoi transform team, uliwahi fikiria victor moses angecheza chelsea 1st 11????? Kayauza majembe kibao chelsea eti hawafit kwenye mfumo wake, refer KEVIN DE BRYUNE+ANDRE SHURLE+ETC. Kama vipi akalee wajukuu tu ndo alichobakizaHaahahahahahah
Mkuu mou zama zake zimeisha hana alichobakiza kwenye soka
Hata pep naye vile vile nawafananisha na mziki wa singeli ushachuja tayari.[emoji3]
Saivi wanabakia makocha wanaofundisha Mpira zama za makocha wapanga vikosi zilishapita
Sijui man kwanini wanambakiza huyo MTU jeuri[emoji16]
Tatizo Kwa Mourinho lililopo ni kubwa sn... Wala sio kua ameisha Mourinho amekua Na maadui wengi sn kila kona mpk wachezaji wake sasa kuhujumiwa au kuangushwa ni rahisi sn. Hili ndio tatizo LA Mourinho lkn sio kaishiwa mbinu hapana. Huyu ana mbinu nyingi sn ata za kushinda akiwa na alama ya kupossess mpira asilimia 1. So hili ndio linalo msumbua Na pia watu wanamfanyia makusudi ili asifanikishe mambo Yake kwasababu huyu ni mfalme Na kiboko ya makocha.Mkuu, vuta kumbukumbu last season (hazard & matic) wanakaa benchi eti wame drop viwango????? Mcheki italian tactition/techinical alivyoi transform team, uliwahi fikiria victor moses angecheza chelsea 1st 11????? Kayauza majembe kibao chelsea eti hawafit kwenye mfumo wake, refer KEVIN DE BRYUNE+ANDRE SHURLE+ETC. Kama vipi akalee wajukuu tu ndo alichobakiza
Hahaahahh tatizo hashauriki na kiburi sana hana tofauti na sizonje wetu[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji119]Mkuu, vuta kumbukumbu last season (hazard & matic) wanakaa benchi eti wame drop viwango????? Mcheki italian tactition/techinical alivyoi transform team, uliwahi fikiria victor moses angecheza chelsea 1st 11????? Kayauza majembe kibao chelsea eti hawafit kwenye mfumo wake, refer KEVIN DE BRYUNE+ANDRE SHURLE+ETC. Kama vipi akalee wajukuu tu ndo alichobakiza
Kweli mkuu Mourinho ni Kocha bora aliye iletea Chelsea heshima hatutakiwi kumkejeli wala kumdharau.. Yeye kashaandika historia katika club..Tatizo Kwa Mourinho lililopo ni kubwa sn... Wala sio kua ameisha Mourinho amekua Na maadui wengi sn kila kona mpk wachezaji wake sasa kuhujumiwa au kuangushwa ni rahisi sn. Hili ndio tatizo LA Mourinho lkn sio kaishiwa mbinu hapana. Huyu ana mbinu nyingi sn ata za kushinda akiwa na alama ya kupossess mpira asilimia 1. So hili ndio linalo msumbua Na pia watu wanamfanyia makusudi ili asifanikishe mambo Yake kwasababu huyu ni mfalme Na kiboko ya makocha.
Siku hizi yeye Na washauri wake Na bodi Yake ya uongozi ata club ya man Utd wanajaribu kuweka usawa Fulani Wa kupunguza uadui Kwa Mou ili kuleta umoja Na sasaivi ukiangalia Utd imeanza kuimarika.
Nishauri tu huyu Mourinho kwetu sisi watu Wa darajani ndio kocha pekee alietupatia mafanikio kuliko makubwa kocha yoyote yule. Kwahiyo kumsema vibaya sio sahihi kabisa.
In José Mourinho we Still trust.....[emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123]
Kwa simu tumia Mobdro kwa Pc Ingia Cricfree au crichdJamani naomba mnijulishe nitumie web site gani ili niweze kuangalia mechi ya Chelsea na Tottenham Hotspur saa mbili na nusu usiku huu. Nataka kuitazama hii mechi live online kwenye stream. Nijulisheni web site isiyokuwa na shida.
Asante mkuu wacha nijaribu, maana hapa nilipo siwezi kutazama hiyo mechi kwenye Tv, lakini niko na Pc.Kwa simu tumia Mobdro kwa Pc Ingia Cricfree au crichd
Jamani naomba mnijulishe nitumie web site gani ili niweze kuangalia mechi ya Chelsea na Tottenham Hotspur saa mbili na nusu usiku huu. Nataka kuitazama hii mechi live online kwenye stream. Nijulisheni web site isiyokuwa na shida.
Nimeona wako Na hiyo mfumoEti nao Tottenham wanaingia na 3-4-2-1. Haya ngoja tuone
Naomba no yako ya simu nikutafute baada ya game maana najua utayakimbia maneno yakoUtabiri wangu Chelsea 0-2 Spurs