villa wamedefend vyema sana, manake chelsiki ukuwapa mwanya wa kuingia ktk 18 yako ni wabaya ohoooo!Dah kapiga nduki mbaya hata kipa kaifwata lakini kaogopa kuucheza vyema!! Half time now vijana wa Villa park wakirudi natumai wataonesha mabadiliko
Ndo mana namatumaini wakirejea wataweka nguvu kwenye kuchomoa..hata Birming naona wamekomaa kweli..Leo nadhani kutakuwa na mabadiliko (+ve change pale juu)
Leo yamekuwakuta wameishakula 5 na bado zingine siku ya kufa nyani ...Natanguliza pongezi zangu kwa ushindi wa leo...hapa naona kama kuna dalili ya kutengenezewa Uji badala ya ugali wa kisukuma....i don believe it...sijui hawa villa vp kuna timu wanakazaaa weee ila...
Tumezipokea mheshimiwaNatanguliza pongezi zangu kwa ushindi wa leo...
Watani hongereni kwa kufuta machozi ya J'PILI iliyopita.(Blackburn)
Hongereni jirani naona leo mmeamua kutoa kichapo!!
Yap! Yap hadi ubigwa mwendo utakuwa kama huu wa tano tano.back to normal business, ni mwendo wa tano tano tu!
Leo hawa jamaa sijui jana walilala wapi maana duh!ahahahahahha! 6-1
Machozi tulishayafuta tangu j5 mkuu tulipowapiga pompey 5-0Watani hongereni kwa kufuta machozi ya J'PILI iliyopita.(Blackburn)